Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

Vifaranga200

Senior Member
Joined
Oct 28, 2022
Posts
163
Reaction score
177
Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba.

Huu sio uungwana.

Hapa najua matusi nje nje lkn huu ndio ukweli, unakuta mtoto ana miaka 30 au hata 35 anashabikia yanga au Simba Hadi inakiiera.. unamuuliza. Je wanao watakuja kudai kiinua mgongo hapa? Je unapata camission Gani Kwa kukiuka taratibu mbalimbali
 
Kwan hao yanga na Simba wenyewe wanasemajee!!!

Hili naloo likatizamwe muheshimiwa waziri wa michezo...
 
Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba.

Huu sio uungwana.

Hapa najua matusi nje nje
Wasamehe sana. Serikali yenyewe ndiyo hiyo hiwajali wananchi wake. Unategemea wao watakuwa na mwamko gani?

Sasa kama Rais mwenyewe amewapa mabogus kama akina Nape, Makamba, Prof. Mbalawa na akina Ridhiwani Kikwete madaraka makubwa ya utendaji na wao hawaperform vizuri kwa kukosa visions na maarifa unategemea nini sasa?

Nchi inaanguka. Mama hajui. Yeye amekazania wawekezaji kutoka nje. Mwekezaji gani atakuja Tanzania wakati hatuna vijana wenye skills?

Ebu mshaurini huyo kiongozi mkuu wa nchi mambo ya kufanya badala ya kuwalaumu mashabiki wa yanga na Simba.

Mama bado yuko kwenye usingizi wa kiitikadi za kichama. Wanao weza deliver anawatoa na kuwaweka waimba ngojerabza CCM.

Wewe waache tu. Siku hayo yote wanayo watendea vijana hivi sasa wasije wakashangaa yakiwatokea puani.

Rais Kikwete Mzee wangu nakuomba sana mshauri Mama afanye mambo ya maana kwa vijana wetu. Machfuko yakitokea Tanzania Mzee vizazi vyako ndiyo vitakuwa vya kwanza kuathirika Mzee wangu. Kwasababu Mzee wangu, watanzania wana Bifu na wewe!
 
Mm sijasema hayo.


Lkn vijana achaneni ya unazi wa Msimbazi na jagwani

Yaani ukifika kwenye vibanda umiza wamejaa, watu tunarudi kutoka kwenye mihangaiko jioni saa kumi alasir unaingia pub upate kamziki laini na tubia tumoko, wao unaona kabisa wanaangalia simba vs lipuli, Yanga vs nyota nyekundu. Khaa!!

Tutajenga nchi Kwa kukaa na kusubiri soka what .. . !??

Ulaya mechi za week days zinachezwa saa nne au tano usiku. Inamaana watu wakajenge uchumi. Mchana na mida y jioni, Ili usiku zije hizi arosto zetu
 
Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba.

Huu sio uungwana.

Hapa najua matusi nje nje
Wewe mwenyewe hiki ulicholeta nini? Si hiyo hiyo Simba na Yanga
 
Back
Top Bottom