Mnaotumia ID'S zenye utata wa jinsia mnaboa mbaya.

Mnaotumia ID'S zenye utata wa jinsia mnaboa mbaya.

katika kutoa hitimisho la thread hii.napenda kuwashukuru wote mliochangia kwa namna moja ama nyingine.
pia napenda kutumia fursa hii kama weledi wa kuhitimisha kilichopo kwa wana cc na Marry Hunbig . marry hunnbig najua unapenda kuja kujumuika na wanacc but unashindwa pa kuanzia,nikiwa kama kiongozi wa mpito kwa sasa Baba V amelazwa nje ya nchi kwa ugonjwa wa kuharisha ama kwa jina lingine kipinduapindua. marry hunbig kama utakuwa interested kuendelea na wana cc kama ilivyokuwa waombe msamaha na nina hakika watakusikiliza.nikiwa kama kiongozi wa mpito mimi ni kiongozi wa wanacc walio huru na wafungwa,wezi na majambazi,na nipo katika wadhifa huu ili kuleta umoja na si kutengana.waswahili wasema umoja ni nguvu.Je ni nani kati yetu ambaye hajawahi kukosea?la hasha,wote tumekosea na tumesamehewa kwa namna moja ama nyingine.
Napenda kuitumia fursa hii kama weledi kutoa maamuzi mazito kutokana na hii thread kama ifuatavyo.
1.kwa wote watakaoonyesha kutumia id's za jinsia tofauti na kusababisha upotevu wa muda kwa mwana cc natangaza rasmi jela ya CC.
2.KWA wote mlioleta mvurugiko ktk CC MTAKUTANA NA KIFUNGO CHA CC ama la muombe msamaha maramoja
3.Katika kuleta umoja na mshikamano tutaunda kamati ya mpito ili majukumu ya mwenyekiti yapunguzwe na wapewe wachapakazi mashuhuri CC
nashukuru kwa weledi mliouonyesha wa kunisikiliza.
nawatakia CC njema na kila la kheri
Mungu ibariki Africa,
Mungu ibariki Tanzania

Aombe msamaha wa kejeli au?
Maanake ana ID yake pendwa.
 
Basi kwa hii niloweka . . . nipende kwa conditions!

Ni aje ki candy..!? mbona we kupote namna hiyo..!??? nakuhtaji wewe na jopo lako m revise sheria za ndoa watu wamezidi kila siku wanatangaza kuachana, mimi inantisha...
 
Ni aje ki candy..!? mbona we kupote namna hiyo..!??? nakuhtaji wewe na jopo lako m revise sheria za ndoa watu wamezidi kila siku wanatangaza kuachana, mimi inantisha...

Si tulikuwa leave jameni.
Mpaka msimu wa sabasaba uishe . . . ndo maana umeona nimeana kujongea taratibu!
 
ha ha ha ha ha ha ha wengine wanajibu hivo kukwepa usumbufu.
Maanake nyie wanaume wa humu kwa pm za kifala hamjambo.
Ila pole best

Siku zote mi najua weye dume..

Napita tu..
 
Wengine waLiberali naona,,ukinihamasisha naenda faragha nakuPM tu.
 
Back
Top Bottom