donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Situmii Tecno ila kuna Ile nimeiona ya kuflip naona hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliiona sehemu inauzwa 2,020,000 nikashangaa Tecno wametoa Simu ya bei ghali hivyo.Situmii Tecno ila kuna Ile nimeiona ya kuflip naona hatari
Ngoja nigoogle nione.Je vipi kuhusu NOKIA C - 10 , mwenye uzoefu nayo anieleze jamani naomba
Tatizo lenu mnanunua hizo tecno kwa mafundi simu... Tofauti na hapo kubali tu una ujuaji wa kijingaTECNO ni simu ambayo unaweza amka asbh na mapema ukakuta imemtumia sms mama mkwe wako inasema I love you baby, usicheze na hiyo simu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Achen ujinga na stori za vijiwen mbona nimetumia tecno camon 11 miaka 4 sijaona hvo vitu...
Labda matangazo kimtindo
Sijasema software ya Tecno ni nzuriMchina mweusi umefika haya njoo utetee software mbovu za wachina hawa kina tecno na nduguze
Hahahahahahah jamani kwa hiyo hiyo aina ya simu haina wazoefu mpaka kugoogle looh!Ngoja nigoogle nione.
Jamani wazoefu na wataalamu wa smartphone nipeni sifa za NOKIA C -10Kwanza akiambiwa hii ni tecno lazima kwanza abishe
Jamani wazoefu na wataalamu wa smartphone nipeni sifa za NOKIA C -10
Mbona sielewi. Yaani mi nataka maelezo na sifa kutoka kwa watu walotumia. Mazuri yake na mabaya yake. Na inanini na nini?Nokia C10 - Full phone specifications
www.gsmarena.com
User reviews zipo hapo chiniMbona sielewi. Yaani mi nataka maelezo na sifa kutoka kwa watu walotumia. Mazuri yake na mabaya yake. Na inanini na nini?
Hamna simu hapoJamani wazoefu na wataalamu wa smartphone nipeni sifa za NOKIA C -10
Jamani kivip mbona huniambii kwa urefu!!Hamna simu hapo
Simu in ram ndogo sanaJamani kivip mbona huniambii kwa urefu!!
Haaaaa kumbe basi kuna mtu anataka kuniuzia anasema eti NOKIA ndio zinaongoza kwa ubora na kukaa nacharge dunianiSimu in ram ndogo sana
Sio kweli [emoji28][emoji28]Haaaaa kumbe basi kuna mtu anataka kuniuzia anasema eti NOKIA ndio zinaongoza kwa ubora na kukaa nacharge duniani