Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Nimeiona dukani spark 10 macho 3 utadhani iPhone 14
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi watu wanavyo paparikiaaa, kuna mtu juzi kaacha kununua Samsung, kanunua Tecno ya macho 3, namtazama nasema hii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi watu wanavyo paparikiaaa, kuna mtu juzi kaacha kununua Samsung, kanunua Tecno ya macho 3, namtazama nasema hii
Naona spark 10 inaingumziwa sàna ngoja niifuatilie nione
 
Napenda simu inakuwa na uwezo wa kuflex popote unapotaka au unavyoweza na kuwa simple no complication yaani simu inakuwa mtu na nusu au mtu wa pili inasolve mambo.
 
Kitu kwingine lisimu lisiwe kuuubwa kama frem ya picha ..sàsa hivi kuna simu mfukoni hazikai ni balaa.
 
Natumia Tecno pop4 mwaka wa 3 sasa hakuna Shida.😍😍😍😍
 
Back
Top Bottom