Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

Je vipi kuhusu NOKIA C - 10 , mwenye uzoefu nayo anieleze jamani naomba
 
Mm nlikua nampangp wa kutafuta hiyo tecno [emoji41]
 
Haaaaa kumbe basi kuna mtu anataka kuniuzia anasema eti NOKIA ndio zinaongoza kwa ubora na kukaa nacharge duniani
Sio kweli [emoji28][emoji28]
Hiyo simu bei inayofaa ni elfu 80 tu. Ni ovyo sana
Alitaka kukuuzia kwa bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…