Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Huyo bado ana tongotongo yaan nichukue spark 10c af kuna samsung A series kali tu ukiachana na S series ambayo ndio top[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi watu wanavyo paparikiaaa, kuna mtu juzi kaacha kununua Samsung, kanunua Tecno ya macho 3, namtazama nasema hii
Yaan wee achaa tyuuh, macho 3 watu wanatingwa nayo.Huyo bado ana tongotongo yaan nichukue spark 10c af kuna samsung A series kali tu ukiachana na S series ambayo ndio top
Sijui wanapataje ujasiri huo daaah!Yaan wee achaa tyuuh, macho 3 watu wanatingwa nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwanaJF alisemaga kutumia TECNO ni ujasiri wa hali ya juu sana, ni sawa na kujikata na kisu shingoni. Huwa nakaangalia katecno kangu ka batani, naishia kutabasamu tu.Kutumia tecno ni dhambi kama zilivyo dhambi zingine.
Mkuu tupa hiyo tekno, kuna siku itakulipukia, utaitia ktk huzuni familia.Kuna mwanaJF alisemaga kutumia TECNO ni ujasiri wa hali ya juu sana, ni sawa na kujikata na kisu shingoni. Huwa nakaangalia katecno kangu ka batani, naishia kutabasamu tu.
Kidogo na MI (Radmi/Xiaomi) zinajitahid kiasi yakeSimu ni Samsung,pixel na iphone
Hata Sony sio mbaya, LG n.k ila sio Tekno, infinix na wajomba zake, hizo sio timu, ni takataka.Kidogo ba MI (Radmi/Xiaomi) zinajitahid kiasi yake
Muite Chief-Mkwawa akusaidie mkuuJe vipi kuhusu NOKIA C - 10 , mwenye uzoefu nayo anieleze jamani naomba
Hakuna kitu hapo mkuu,simu iko nyuma ya muda sana,hapo tafuta hata mchina wako wa 250k anamkalisha huyo,simu 1/2 gb ROM?,simu battery 3000 amp?,duh!...Mbona sielewi. Yaani mi nataka maelezo na sifa kutoka kwa watu walotumia. Mazuri yake na mabaya yake. Na inanini na nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui wanapataje ujasiri huo daaah!
Kuna mwamba alinunua infinix mpya kabisa na receipt ya EFD kapatiwa😂,mziki ukaanza baada ya mwezi,chuma inazima na charge iko 70%+,akiiwasha inaleta mwanga mweupe kwenye kioo na haibadiliki,hapo unakuta alikua anatizama movie chuma imechemka mshale wa joto unasomea red😂,ila hilo tatizo linakuja kuisha lenyewe baada ya kama 2hours,chuma inakua imepoa,kesho tena hivyo hivyo hadi jamaa akaiingiza sokoni,ikatangaziwa dau mjinga mwingine akaingia cha kike kuinunua😂Hata Sony sio mbaya, LG n.k ila sio Tekno, infinix na wajomba zake, hizo sio timu, ni takataka.
Raia vitu kama soc, touch sampling rate, refresh rate na ram na storage speed raia ukiwaambia utawachanganya humu wao wanacheki ram na storage size tu.wacheza magemu ndo tunazifaham simu
MkuuHivi mtu inakuaje unaingia mfukoni unanunua tecno, itel, infinix, vivo n.k unless uwe mwanafunzi au ndo smart yako ya kwanza.
Heri Samsung ya laki mbili kuliko tecno ya laki 3 au 4.
Hajaijua Vivo vizuri huyo[emoji16][emoji16]Hadi vivo unaidiss mkuu??
Ndo maana nimemshangaa..Hajaijua Vivo vizuri huyo[emoji16][emoji16]
Kuna vyuma huko akina Vivo X90 Pro Plus, zinashindanishwa kamera na S23 Ultra, iPhone 14 Pro Max, etc
Ahahhah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TECNO ni simu ambayo unaweza amka asbh na mapema ukakuta imemtumia sms mama mkwe wako inasema I love you baby, usicheze na hiyo simu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
kachukue kuanzia iphone 12 hamna anaelalamik chaj kuanzia apo kupanda juu