Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.
naona umetaja wanaume wenzio tu mkuu wewe sijaona jina lako.

ngende inakuhusu
hii comment yako inadhibitisha wewe ni mbumbu na mjinga aliyezaliwa ujingani na mishipa yako ya ubongo kusinyaa.....hao ni mifano hai mimi utanijulia wapi wewe kima???....toa hoja sio maneno ya dada zao huko uswahilini..... Stupid sentimental...
 
mkuu wewe jinsia gani? mbona maneno makali hivi!
nilidhani wewe mwanaume!
 
Yatafute ni bonge deal kuzidi ata dhahabu but fuata hayo maelekezo yangu. Mi niliambiwa nikiwa form 4 afu Mungu siyo Athuman nikayapata mnamo mwaka 2010 aisee saiv nipo na Maisha walau uwezo wa kubadili mboga na nguo ninao. Kipindi hicho niliuza kwa KS 15m kila moja
ulimuuzia nani?soko lake ni wapi?
 
....what the hell is this??...kwahiyo unataka kuniambia kwamba billgate jeff bezos hadi elon musk nao walipitia huko kwa ngende sijui.....au bakhressa mo dewj wote walipitia huko kwa waganga???.....kichwa kilipaswa kiwe: kwa wapenda shortcut wote wajinga na wavivu ambao wanachukia umasikini ngende ndo kimbilio..... wake up Africans that's not how things works...
kinachokuumiza na maamuzi ya wengine ni nini hasa...kama vipi kunywa sumu kama una hasira sana.
ni kama mke wako akigongwa na mwingine unaumia, sasa unachoumia ni nini , kiungo chako au chake, na ukifa utazikwa nacho au vipi, nakushangaa
 
"How things work" and not "How things works"
 
Utajiri wa Ngende wa masharti haufai,mambo ya kutolala kitandani au kutowapelekea moto PISI au kufunga suruali na kamba ya katani nani anataka?
 
Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini.
Umaskini mbaya wazee.

Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo mwenzako si mbaya sana.

Nimepata shuhuda nyingi za Ngende, nami nimewahi kwenda nikiwa form two mara tu nilipomaliza mtihani wa form 2. Nilikwenda na rafiki/ndugu wa karibu tukisaka dawa ya kupata madini.

Tulikwenda centre ndogo ya ngende ila wembe wao ndo uleule.

Tulipewa dawa kwa buku 2 tu ingawa kule chimbo tukafanya utoto .

Sasa hivi nataka niende tena kuomba ukwasi,yaani niwe na pesa kama zote. Ngende ndio home land so, ninavyoisifia namaanisha. Sema tu watu wa kule hawana time na ngende na wakienda wanakwenda kwa issue zingine tu kama kilimo (avune sana mahidi ya chakula au korosho). Au ampate mwanamke fulani au mambo ya kuomba udiwani au ubunge.

Yaani ngende utajiri ndani ya miezi 3 tu bila kumwaga damu, pesa unatoa kiasi upendacho .

Cha msingi kuzingatia masharti ya kupeleka kiasi fulani kila mwaka. Unaweza kuambiwa kila mwaka peleka buku , wewe unaanza kudharau unasema tafidia, tafidia mwisho wa siku unageuka kuwa fukara na si maskini.

Ngende noma. Iko Liwale na Morogoro huko ndanindani.
Utajiri WA kichawi Bila kumwaga damu ya mtu wako WA karibu = Hakunaga.

Hata Yule Jamaa mwenye Tv na Redio aliezaa na X WA Father Abraham utajiri wake aliuoatia Ngende na alimwaga damu.
 
Kama kupata nyumba na gari hadi umeenda sijui kwa Ngende, sitaki hata kumsikia.
 
"How things work" and not "How things works"
who are you again?? I always know what I'm doing so shut the hell up and don't tell me what to do......it works and not work... you got me braidead??.....
 
Yatafute ni bonge deal kuzidi ata dhahabu but fuata hayo maelekezo yangu. Mi niliambiwa nikiwa form 4 afu Mungu siyo Athuman nikayapata mnamo mwaka 2010 aisee saiv nipo na Maisha walau uwezo wa kubadili mboga na nguo ninao. Kipindi hicho niliuza kwa KS 15m kila moja
Hivi uko serious mzee?
 
kinachokuumiza na maamuzi ya wengine ni nini hasa...kama vipi kunywa sumu kama una hasira sana.
ni kama mke wako akigongwa na mwingine unaumia, sasa unachoumia ni nini , kiungo chako au chake, na ukifa utazikwa nacho au vipi, nakushangaa
...Is this your thesis? or you're just mad at me?... I'm pretty sure you're mad at me...
 
Binafsi nimeishi maeneo karibu na ngende

Ni kweli ngende Kuna huo utajili Ila mashart yake ndio magumu hasa ukishaanza kufanikiwa yan unapewa sharti ambalo ukiwa tajiri huwez kulimudu

Kuna mzee alienda ngende kuomba utajili kwa mganga, jamaa akapewa dawa vizuri na kweli alifanikiwa Sana Hadi mtaani watu tukawa tunamshangaa kwa mafanikio aliyokuwa nayo

Ila Sasa kumbe kule alikopewa ile dawa yule mganga alimwambia awe anampelekea sindano ya kushonea nguo zake kila mwaka. Sasa vuta picha wewe ni tajiri haswaaaa unaenda kununua sindano ya sh 10( kwa wakati huo) na unapanga Safari unawasha gari na kupeleka sindano tu kwa mganga? ....

To cut the story, jamaa aliweza kwa miaka mitatu tu Ila baadae alianza kupuuzia hawezi kupoteza hela nyingi kusafil kisa sindano ya sh 10, akawa ameacha kwenda na akawa anatuma salamu tu kwa yule mganga na kuwaagiza watu wampelekee hela Ila Hilo ndo lilikua anguko lake kwasababu alishindwa kupeleka sindano tu.

Ndugu zangu mashart ya ngende huwezi kutoboa hata Kama unayaona ni mepesi kwa siku za mwanzon Ila huko mbeleni huwezi kutoboa narudia Tena kwa msisitizo HUWEZI KUTOBOAAAAAA
 
you dont have anything to add, ni jambo la kushangaza sana kama unaumizwa na maamuzi ya watu wengine, wewe ya kwako pengine yanakushinda huko nyumbani kwako unakuja kuwapangia watu maisha, embu piga moyo konde ufanye maisha yako na utembee kwenye njia yako peke yako uliyoichagua.
 
Binafsi nimeishi maeneo karibu na ngende

Ni kweli ngende Kuna huo utajili Ila mashart yake ndio magumu hasa ukishaanza kufanikiwa yan unapewa sharti ambalo ukiwa tajiri huwez kulimudu

Kuna mzee alienda ngende kuomba utajili kwa mganga, jamaa akapewa dawa vizuri na kweli alifanikiwa Sana Hadi mtaani watu tukawa tunamshangaa kwa mafanikio aliyokuwa nayo

Ila Sasa kumbe kule alikopewa ile dawa yule mganga alimwambia awe anampelekea sindano ya kushonea nguo zake kila mwaka. Sasa vuta picha wewe ni tajiri haswaaaa unaenda kununua sindano ya sh 10( kwa wakati huo) na unapanga Safari unawasha gari na kupeleka sindano tu kwa mganga? ....

To cut the story, jamaa aliweza kwa miaka mitatu tu Ila baadae alianza kupuuzia hawezi kupoteza hela nyingi kusafil kisa sindano ya sh 10, akawa ameacha kwenda na akawa anatuma salamu tu kwa yule mganga na kuwaagiza watu wampelekee hela Ila Hilo ndo lilikua anguko lake kwasababu alishindwa kupeleka sindano tu.

Ndugu zangu mashart ya ngende huwezi kutoboa hata Kama unayaona ni mepesi kwa siku za mwanzon Ila huko mbeleni huwezi kutoboa narudia Tena kwa msisitizo HUWEZI KUTOBOAAAAAA
unawezaje kumsemea binadamu mwingine kua atashindwa jambo fulani, huyo aliyeshindwa ni UZEMBE WAKE sababu alipewa maelekezo, na kwa mwanaume kupewa malekezo na ukashindwa basi wewe sio mwanaume kamili
.. inashangaza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom