Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.
Ili uweze kupata kitu ambacho hukuwai kukipata Kabla unatakiwa kufanya kitu ambacho hukuwai kufanya kabla

uoga wako ndio umaskini wako lakin kwa hizi imani za kishilikina zilizojaa kafara za umwagaji damu kwakweli acha nife na umaskini wangu
 
Mleta mada, ikitokea mganga akafariki, utakuwa unapeleka kwa nani?
 
Wewe endelea kusaka pesa kwa ndumba utaishia kua chizi tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwenye kunihakikishia kafara inatajirisha anijuze, vitega uchumi vyote ninavyo, dingi yupo, matha yupo, mke na watoto hata kumi wapo.... Yaani nimesheheni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umetisha sana.
 
Ngende ni jina la kijiji au jina la uchawi? Hapa nimetoka kapa.
 
Ngende

kila mwaka unapeleka zawadi ya chungwa moja kwa mtaalamu.

Unatoka kigoma na Cruiser mpaka liwale

sharti safi sana
 
Ngende

kila mwaka unapeleka zawadi ya chungwa moja kwa mtaalamu.

Unatoka kigoma na Cruiser mpaka liwale

sharti safi sana
bomba sana. kwanza ni utalii. range rover yangu au v8 naenda na kurudi bila shida.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…