Mnaouchukia ufukara na umaskini NGENDE ndilo jawabu lenu la mwisho

Status
Not open for further replies.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini.
Umaskini mbaya wazee.

Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo mwenzako si mbaya sana.

Nimepata shuhuda nyingi za Ngende, nami nimewahi kwenda nikiwa form two mara tu nilipomaliza mtihani wa form 2. Nilikwenda na rafiki/ndugu wa karibu tukisaka dawa ya kupata madini.

Tulikwenda centre ndogo ya ngende ila wembe wao ndo uleule.

Tulipewa dawa kwa buku 2 tu ingawa kule chimbo tukafanya utoto .

Sasa hivi nataka niende tena kuomba ukwasi,yaani niwe na pesa kama zote. Ngende ndio home land so, ninavyoisifia namaanisha. Sema tu watu wa kule hawana time na ngende na wakienda wanakwenda kwa issue zingine tu kama kilimo (avune sana mahidi ya chakula au korosho). Au ampate mwanamke fulani au mambo ya kuomba udiwani au ubunge.

Yaani ngende utajiri ndani ya miezi 3 tu bila kumwaga damu, pesa unatoa kiasi upendacho .

Cha msingi kuzingatia masharti ya kupeleka kiasi fulani kila mwaka. Unaweza kuambiwa kila mwaka peleka buku , wewe unaanza kudharau unasema tafidia, tafidia mwisho wa siku unageuka kuwa fukara na si maskini.

Ngende noma. Iko Liwale na Morogoro huko ndanindani.
 
....what the hell is this??...kwahiyo unataka kuniambia kwamba billgate jeff bezos hadi elon musk nao walipitia huko kwa ngende sijui.....au bakhressa mo dewj wote walipitia huko kwa waganga???.....kichwa kilipaswa kiwe: kwa wapenda shortcut wote wajinga na wavivu ambao wanachukia umasikini ngende ndo kimbilio..... wake up Africans that's not how things works...
 
Katika feeling mbovu mwanaume huihisi ni kuona anawafelisha wanaomtegemea, ikatokea ni ngende au maombi yatakusaidia kutoka katika hilo dimbwi la kufeli am saying go for it.

Watu kama Mauki na Makonda wakose jina la kukupa.
 
Niliwahi kuandika uzi mwezi May nikisema nitafanya lolote ilimradi niondokane na umaskini.
Umaskini mbaya wazee.
Sijaondokana bado na umaskini but kidogo naona unafuu sasa, kwa Kibongobongo 33 yrs ukiwa na mahali pa kuweka mgongo mvua isikunyeshee na kausafiri hata kama umenunua kwa mbongo mwenzako si mbaya sana.
Nimepata shuhuda nyingi za Ngende, nami nimewahi kwenda nikiwa form two mara tu nilipomaliza mtihani wa form 2. Nilikwenda na rafiki/ndugu wa karibu tukisaka dawa ya kupata madini.
Tulikwenda centre ndogo ya ngende ila wembe wao ndo uleule.
Tulipewa dawa kwa buku 2 tu ingawa kule chimbo tukafanya utoto .
Sasa hivi nataka niende tena kuomba ukwasi,yaani niwe na pesa kama zote. Ngende ndio home land so, ninavyoisifia namaanisha. Sema tu watu wa kule hawana time na ngende na wakienda wanakwenda kwa issue zingine tu kama kilimo (avune sana mahidi ya chakula au korosho). Au ampate mwanamke fulani au mambo ya kuomba udiwani au ubunge.
Yaani ngende utajiri ndani ya miezi 3 tu bila kumwaga damu, pesa unatoa kiasi upendacho .
Cha msingi kuzingatia masharti ya kupeleka kiasi fulani kila mwaka. Unaweza kuambiwa kila mwaka peleka buku , wewe unaanza kudharau unasema tafidia, tafidia mwisho wa siku unageuka kuwa fukara na si maskini.
Ngende noma. Iko Liwale na Morogoro huko ndanindani.
Hakuna cha bure kwa shetani, hapo umeshafanya transaction kati ya nafsi yako yenye thamani zaidi ya lulu na huo unaoita utajiri. Pole Sana.
 
....what the hell is this??...kwahiyo unataka kuniambia kwamba billgate jeff bezos hadi elon musk nao walipitia huko kwa ngende sijui.....au bakhressa mo dewj wote walipitia huko kwa waganga???.....kichwa kilipaswa kiwe: kwa wapenda shortcut wote wajinga na wavivu ambao wanachukia umasikini ngende ndo kimbilio..... wake up Africans that's not how things works...
naona umetaja wanaume wenzio tu mkuu wewe sijaona jina lako.

ngende inakuhusu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom