Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika?
Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM?
Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda kingebadilika?Waseme hadharani waache mambo ya sirisiri!!!