Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Angeshinda Mbowe kungekuwa na maridhianoWana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika?
Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM?
Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda kingebadilika?Waseme hadharani waache mambo ya sirisiri!!!
Mbowe angeendeleza maridhiano,Kwa Lisu kipi kitabadiloka?Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika?
Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM?
Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda kingebadilika?Waseme hadharani waache mambo ya sirisiri!!!
Lissu hataki maridhiano?Mbowe angeendeleza maridhiano,Kwa Lisu kipi kitabadiloka?
Ndio mbona alisema wazi?Lissu hataki maridhiano?
Kwa ivo CHADEMA yooote kazi yake ni maridhiano?Mbowe angeendeleza maridhiano,Kwa Lisu kipi kitabadiloka?
Ingekuwa hivyo si mungebakia huko Ubelgiji na Ile amri ya Rais ya marufuku mikutano ingeendelea.Kwa ivo CHADEMA yooote kazi yake ni maridhiano?
Kwanza hayo maridhiano yasiyofuata ile kanuni ya nipe nikupe ama kubali kupoteza upate, ya kazi gani Sasa?
Usihame hame... Ni kitu gani hicho ambacho Lissu hawezi kukibadlisha kwa kushinda kwake?Ingekuwa hivyo si mungebakia huko Ubelgiji na Ile amri ya Rais ya marufuku mikutano ingeendelea.
Unajitoa ufahamu?
Chadema haiwezi kushika DolaUsihame hame... Ni kitu gani hicho ambacho Lissu hawezi kukibadlisha kwa kushinda kwake?
Kwako wewe kutokuwepo Kwa Tume Huru ya uchaguzi ni sawa tu?Chadema haiwezi kushika Dola
Katiba Mpya hazitakuwepo
Tume ya Uchaguzi anavyotaka Lisu hazitakuwepo
No reform no election hawezi kutekeleza nk
Kwangu ni sawa kabisa Kwa sababu sijaona mbadala wa CCM hata Sasa nikikuuliza kipi kipya mtakileta in case mnashika Dola Kwa bahati mbaya huna majibu.Kwako wewe kutokuwepo Kwa Tume Huru ya uchaguzi ni sawa tu?
Kwako wewe huoni haja ya kubadili Katiba ya nchi yetu?
Unaona kuwa No reform No election inatakiwa kupingwa?
Kwa ivo unaona ukandamizaji utaendelea na CHADEMA haitaweza kupambana nao?
Hayo ya kushika dola yanatoka wapi? Na hizo hasara ni kama zipi? Kwa ivo wewe unataka kusema sera za CHADEMA na CCM zinafanana?Kwangu ni sawa kabisa Kwa sababu sijaona mbadala wa CCM hata Sasa nikikuuliza kipi kipya mtakileta in case mnashika Dola Kwa bahati mbaya huna majibu.
Ila Mimi Kwa kusoma hulka ya Kiongozi naweza bashiri hasara ambazo zinaweza tokea.
Kwasababu Wenje ana ushkaji na Dully?Angeshinda Mbowe kungekuwa na maridhiano
Chadema hawana sera zozote ndio maana hata wewe mwanachadema hujui.Hayo ya kushika dola yanatoka wapi? Na hizo hasara ni kama zipi? Kwa ivo wewe unataka kusema sera za CHADEMA na CCM zinafanana?
Kwa ivo ambacho hakitabadilika ni kuwa CCM itatumia nguvu zile zile haramu kubaki madarakani?
Kwani maana ya sera ni nini? Maana naona umeandika bandiko refu lakini natafuta mantiki ndani yake siioni!Chadema hawana sera zozote ndio maana hata wewe mwanachadema hujui.
Wewe hujui,weka hapa sera za Chadema za Uchumi tuone.Kwani maana ya sera ni nini? Maana naona umeandika bandiko refu lakini natafuta mantiki ndani yake siioni!
Halafu kama wewe huzijui sera za CHADEMA kuhusu mambo mbali mbali usiweke hitimisho kuwa na wengine hawazijui.