Mnaouliza Kuwa Lissu kushinda nini kitabadilika, angeshinda Mbowe nini kingebadilika?

Kwangu ni sawa kabisa Kwa sababu sijaona mbadala wa CCM hata Sasa nikikuuliza kipi kipya mtakileta in case mnashika Dola Kwa bahati mbaya huna majibu.

Ila Mimi Kwa kusoma hulka ya Kiongozi naweza bashiri hasara ambazo zinaweza tokea.
Akili yako ina shida kubwa
 
Maridhiano yamekisaidia nini hiko chama mpaka muda huu?
Kibaraka Lisu amerudi na wenzake waliokimbia Nchi

Mbowe aliachiwa jela

Mumefunguliwa mikutano ya hadhara

Mnakula ruzuku

Mnafanya mambo yenu Kwa uhuru kabisa.

Bila hayo maridhiano si mungekuwa mnapakatwa na kina Amsterdam huko?
 
Kamdomo ,kamdomo
 
Mbona walikuwa wanapambana ashinde Mbowe 🤣
 
Mkuu, kwa sasa watu wamevurugwa. Trust the process.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…