Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
 
Halafu tupo tunaopinga hata kunyonyana mashine ...na style zote ambazo dini hazitaki ...tunataka style moja Tu ya kifo cha Mende...
Vyama vije na Sera ya Ku address hili pia ... vinginevyo hatuwapigii kura
Ziwekwe na Kamera majumbani na mahotelini ili kuona nani na nani anaenda kinyume na hayo,
Au kuwe na siku maalumu ya Watanzania wote kukutana kwenye viwanja vya wazi na kunjunjana hiyo style ya kifo cha mende, itasaidia sana
 
Kuna mafala mengine yenye familia kabisa utayakuta yanahalalisha huo UPUMBAVU vijiweni eti "siku hizi tigo ni habari za mjini, ukimla Ke bila ya kula jicho lake anakudharau kabisa"

Nilichefukwa nikayatukana vizuri sana kuwa si kila Me anayejitambua ni Mpumbavu sawa na wao hadi walibadili mada....hiki kizazi kilipofikia pthuuu...[emoji2961]
 
Kasikilize nyimbo za Bongo fleva hasa za Wasafi
 
Brother sitaki kuamini kama na wewe ni SHOGA.... Tafadhali saana usinivunje moyo
 
Dhana nzima ya neno Ushoga ni nini?

Je? Ni mwanaume kwa mwanaume kuingiliana kimapenzi?

Ni mwanamke kwa mwanamke kufanya mapenzi?

Au ushoga linamaana ipi

Embu tuanzie hapo kwanza?

Wakati huo huo tujiulize!

Kukipita mwanaume na mwanamke wakiingia Guest, kukapita tena mwanaume na mwanaume au mwanamke kwa mwanamke wanaingia Guest, kwa haraka haraka, nani atastahili kuitwa Shoga? Licha kwamba hatujui wanaenda kufanya nini Guest?
 
Nasubiria majibu Toka Kwa antigays
 

Wanawake wanaharibika sana na hii ni trend pia kwa wasaka tonge na kuna wanaume wanatoa hela kwa masharti hayo.
Ndio tunapata na wagonjwa wa migongo na vifo Vya uzazi cos at the end ikifika kujifungua asilimia kubwa Operations..
Unafki ukiachwa hili nalo ni moja ya jambo la kukemea.
 
Mwanaume na Mwanaume wakiingia Guest tayari wanaitwa Mashoga?

HUjui wanaenda kufanya nini ila tayari ushawaita Mashoga,

Nani mwenye tatizo kati yao na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…