Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
 
Nimeona sababu ya kwanini uzi wako hadi sasa una karibia saa nzima ila hauna wachangiaji
 
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
Mwenye hela huwa haombwi Ila akipewa hakatai.. Kutoa ni moyo...!
 
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
Ongea nao vizuri wakupe mbinu acha kuumia. Ukikunjua nafsi hata wewe utajenga
 
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
Akili za ombaomba mbovu sana. Unatamani maisha ya ombaomba eti kajipata.
Ovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom