Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
nenda mikoani huko
nasikia kuna watu wana uhitaji mkubwa wa hela za vocha
 
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
Perfect 100% isipokuwa makini unaweza kuwa unamhudumia mtu ambaye alipaswa kuhudumia wewe.

Segere linaanzia ana iPhone wewe una Oppo na vocha unatuma wewe
 
Back
Top Bottom