Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

Mnaowaita ombaomba wana maisha mazuri kuliko nyie

Kuna mahusiano flani ivi nlikua nayo yaliniweka kwenye sehemu ndogo ya viatu vya Mungu, nikagundua Mungu ana moyo, (kumpenda hata yule asiekupenda), maana kwenye vitabu vya dini Mungu anasema huwanyeshea mvua na kuwaangazia jua lake wema na waovu.

Mtu hana mpango na wewe (achilia mbali maudhi yake) ila inatakiwa umlishe, umlinde, umpe jua na mvua na akikuomba shida yake lazma umsaidie, akishapata alichotaka anarudi kukusahau ..

Mfano unaona kabisa kwenye huu urafiki/talking stage, mdada hana mpango na wewe ila akiwa na shida ya hela anakukimbilia.. kumsaidia bila kuwaza mbona huyu mtu hanifanyii hata robo ya ninayomfanyia, inahitaji moyo mkuu.

Nilvopitia hayo mahusiano nkagundua malipo ni hapa hapa duniani, maana mimi ninayomfanyia Mungu inafanana kama ninavofanyiwa na huyo mdada 😁


Aloo sio rahisi inahitaji moyo. Seran
Duhh basi sawaa!
 
Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara

Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi

Nimeumia sana, ni hayo tu
Tunalipia huduma bila kujali mtoa huduma anapesa kiasi gani!
 
Back
Top Bottom