Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
HahahaKupanga ni kuchagua,wewe ulichagua kutoa,mwenzio alichagua kupokea,sasa kila mtu atavuna kile alichokipanda.
HahahaKupanga ni kuchagua,wewe ulichagua kutoa,mwenzio alichagua kupokea,sasa kila mtu atavuna kile alichokipanda.
Mkuu nawewe unaombaga
😂😂😂 mamlaka ya mapatoLeo ombaomba tuna mtetezi huku dada binti kiziwi 😂
Hapo simpingi!😂😂😂😂 mamlaka ya mapato
Leo dada anasema yeye ni ringleader wa kikosi cha mizinga!
Pole sana hao ombaomba walikua na Makebo au ndio flatscreen inch 42?Nimeumia sana
Na hapo unaweza ukawa unatuma vocha ila usiwe unapigiwa simu na kutumiwa meseji 😁 Bush DoktaSegere linaanzia ana iPhone wewe una Oppo na vocha unatuma wewe
Mbona kawaida sana, cha ajabu hapo kipi?Na hapo unaweza ukawa unatuma vocha ila usiwe unapigiwa simu na kutumiwa meseji 😁 Bush Dokta
We unaona kawaida kabisa😮 ukiwa unamtumia mtu vocha mara kwa mara, we hutarajii hata awe anakupigia simu au hata sms SeranMbona kawaida sana, cha ajabu hapo kipi?
Kuomba ni tabia ya mtu.Ila kuna watu hata kama anacho bado kuomba ni tabia
Akipiga mizinga yake 20, elf 10,10 anasogeaWanasena ndondondo si chururu, haba na haba hujaza kibaba
Kumsaidia jamaa yako ni bora hata akitusua atakukumbuka kuliko hawa ombaomba wakitusua dharau ndio zinazidiPambana sana, kujiinua mtoto wa kiume maisha ya Leo ikija in terms of cash money, mademu wana hela in cash, nyingi kuliko washikaji, amini Hilo, jitahidi kupambana kupata pesa Kwa njia yoyote ile, una mdharau anko T kusuka wanawake we unatoka hapo unaenda kuomba jero ya maji, sijui tumekuwaje, wanaume wa sasa, bro NAOMBA mia mbili, dah mcheki niffer cosmetics ana tuchomoa wana kibao.
Wakuu tupigeni kazii, tunadhalilika tutachapiwa wake zetu sana, tuta fanyiwa kila ushenzi na dunia trust me, umasikini kukosa pesa ni mtihani
Kuna ile mirefu ya kuishiwa hela ya kodi unampa kumbe aenda kununua bati laAkipiga mizinga yake 20, elf 10,10 anasogea
Na hiki ndio kilichonikutaPerfect 100% isipokuwa makini unaweza kuwa unamhudumia mtu ambaye alipaswa kuhudumia wewe.
Segere linaanzia ana iPhone wewe una Oppo na vocha unatuma wewe
galia tu wengi wanao wasomesha wanavo Lia ila malipo duniani, wanafanyaga ubaya, badae wakizalishwa wanatelekezwa hapo ndo anarudi analia eti mrudianeKumsaidia jamaa yako ni bora hata akitusua atakukumbuka kuliko hawa ombaomba wakitusua dharau ndio zinazidi
Mkuu kuna mahali wamekupiga na kitu kizito?Kila kitu kina negative na postive sides wakijipata tunawapongeza japo kwa masikitiko maana vizinga wanavyotupiga wamevitumia vizuri
Ni rahisi kuongea hivyo kuliko kutekeleza SeranMsaidie mtu kwa moyo bila kutarajia malipo! Bando la shingapi mpaka ukae unaipigiwa simu?
Kuna mahusiano flani ivi nlikua nayo yaliniweka kwenye sehemu ndogo ya viatu vya Mungu, nikagundua Mungu ana moyo, (kumpenda hata yule asiekupenda), maana kwenye vitabu vya dini Mungu anasema huwanyeshea mvua na kuwaangazia jua lake wema na waovu.Kuna ugumu gani hapo sasa?