Nimeona sababu ya kwanini uzi wako hadi sasa una karibia saa nzima ila hauna wachangiajiHao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara
Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi
Nimeumia sana, ni hayo tu
Mwenye hela huwa haombwi Ila akipewa hakatai.. Kutoa ni moyo...!Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara
Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi
Nimeumia sana, ni hayo tu
Ila kuna watu hata kama anacho bado kuomba ni tabiaWanasena ndondondo si chururu, haba na haba hujaza kibaba
Huyo uliemtag ashawai kukuomba (jokes)Leo ombaomba tuna mtetezi huku dada binti kiziwi 😂
huwa tuna ombaomba naye huko nje!(not jokes)Huyo uliemtag ashawai kukuomba (jokes)
Ongea nao vizuri wakupe mbinu acha kuumia. Ukikunjua nafsi hata wewe utajengaHao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara
Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi
Nimeumia sana, ni hayo tu
Eti limeumia. Halafu ni dumeKwanini na wewe usianze kuwa omba omba kwao?
Akili za ombaomba mbovu sana. Unatamani maisha ya ombaomba eti kajipata.Hao wadada mnaowaita ombaomba humu ambao kiukweli huwa mnawatumia vihela vidogo vidogo mnapokuwa na upwiru wana maisha mazuri kuliko nyinyi mnaohisi wao ni mafukara
Hii ni baada ya kuona wengi wa michepuko yangu wamenikaushia kwa sasa maana washajipata wengine washajenga mahekalu wengine wamepanga apartment za bei kali masaki huku mimi nilikuwa nawaona masikini na ombaomba bado pangu pakavu tia mchuzi
Nimeumia sana, ni hayo tu
KabisaUzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama