Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
15,331
Reaction score
22,307
Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.
Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali.
Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na changamoto za hapa na pale,ilitokea siku Moja kakwama kumlipa bosi wake kutokana na kumuuguza mama yake mzazi Ambaye alikuwa amelazwa Hospitali,na yeye ndio kama mwenye uwezo kidogo! Bahati mbaya huyo Mama akafariki!Mwenye mwenye Mali hataki kusikia maelezo ya kuuguza Wala kufiwa! Kaenda kwa mwenyekiti wa mtaa na kushtaki anataka hela zake zote zilizobaki na zilibaki wiki Sita dogo amalize mkataba na kukabidhiwa kadi ili iwe Mali yake .!Cha ajabu mwenye Mali hataki kusikia habari ya kufiwa anadai haipo kwenye mkataba!Kumbe wengi wakiona vijana wanakaribia kumaliza mikataba,roho zinawauma wanaona kama vile wanawapa Bure!Jamaa kasema anatoa wiki ipatikane hiyo hela ya wiki Sita yaani laki nne na elfu ishirini,akitegemea dogo atakwama na ionekane kashindwa mkataba.Mungu si Athumani!Leoleo dogo kajichanga na wenzake kalipa,kadi ikawa mbinde kulipata.Acheni hizo jamani!
 
Hivi unajuwa kuna mtindo watu wa mikataba hawana tofauti na wakopeshaji wale wanajiita visakosi uchwara.

Ukifikisha mda wakaona unakaribia kumalizana nao wanakutengenezea jamu la kuibiwa au ndumba.ili mradi wakukwamishe wachukue
 
Maisha ya ovyo kabisa,afadhali hata jambazi!
 
Hivi unajuwa kuna mtindo watu wa mikataba hawana tofauti na wakopeshaji wale wanajiita visakosi uchwara.

Ukifikisha mda wakaona unakaribia kumalizana nao wanakutengenezea jamu la kuibiwa au ndumba.ili mradi wakukwamishe wachukue
Nasikia hata kwenye hz boda boda kuna maboss wananduba ili vijana washindwe kumaliza mkataba wachukue chombo,ila pesa inatafutwa aisee
 
Ilaaa watu Wana roho za kijasusi yaan ,daaa navuta picha tu dogo alivyokomaa miezi kumi na 17 yakumaliza mkataba alafu mtu umzulumu kwelii aiseee🤔🤔🤔
Mvua ,jua vyao,wanaponea chupuchupu kuporwa, wengine wanakeaha ili Hesabu ya bosi itimie!
 
Matatizo mengine ni ya kibinadam hata kama hayaja andikwa kwenye mkataba; yanahitaji busara
Mf: Kuugua, kuuguliwa, kufiwa, chombo kupata changamoto nk Lazima busara itumike kwa kuongeza muda wa marejesho....
Umenena vyema,wengi huo utu hawana kabisa Tena ukionekana unakaribia kumaliza,anaona kama anakupa Bure!
 
Tena wenye Mali wanapata super profit!Mtu ananunua bodaboda m2.8,Aliyechukua mkataba anakuja kumpa tajiri M3.6,Kwa mwaka mmoja!
kwenye hili la bei ni sawa elewa mmiliki naye ni mfanyabiashara na 2.6 million inatoka cash lakini anairudisha kidogo kidogo ila kwenye lengo la mada yako umeeleweka vizuri ubinadamu unahitajika.
 
Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.
Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali.
Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na changamoto za hapa na pale,ilitokea siku Moja kakwama kumlipa bosi wake kutokana na kumuuguza mama yake mzazi Ambaye alikuwa amelazwa Hospitali,na yeye ndio kama mwenye uwezo kidogo! Bahati mbaya huyo Mama akafariki!Mwenye mwenye Mali hataki kusikia maelezo ya kuuguza Wala kufiwa! Kaenda kwa mwenyekiti wa mtaa na kushtaki anataka hela zake zote zilizobaki na zilibaki wiki Sita dogo amalize mkataba na kukabidhiwa kadi ili iwe Mali yake .!Cha ajabu mwenye Mali hataki kusikia habari ya kufiwa anadai haipo kwenye mkataba!Kumbe wengi wakiona vijana wanakaribia kumaliza mikataba,roho zinawauma wanaona kama vile wanawapa Bure!Jamaa kasema anatoa wiki ipatikane hiyo hela ya wiki Sita yaani laki nne na elfu ishirini,akitegemea dogo atakwama na ionekane kashindwa mkataba.Mungu si Athumani!Leoleo dogo kajichanga na wenzake kalipa,kadi ikawa mbinde kulipata.Acheni hizo jamani!
Hii kesi ngumu
 
Sawa Mkuu!
 
1000028821.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: rr4

Mkataba unasemaje kuhusu kufiwa? Kama kipengele kilikuwepo kwamba ukifiwa usipeleke maokoto basi atakuwa kaonewa kama kilikuwepo na akaona kitambana ilitakiwa asisaini.

Bodaboda wengi jau ,wachache sana wanajielewa.
 
Nakumbuka bro ni mwalimu sasa alijichanga akanunua boda akampa mzee mmoja ebwana yule mzee kumbe ana oda zake za kusambaza nyama kutoka Mombasa mikocheni mpaka mbezi miezi 8mzee kamaliza Hela ya bro,kimbembe bro kumbe akipewa Hela anakula na mkewe na hawara wake kesi mpaka polisi mzee kaja na daftari la mahesabu broo alikimbia aibu...nikajua bro ana roho ya kiwaki sana
 
Back
Top Bottom