Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

Nakumbuka bro ni mwalimu sasa alijichanga akanunua boda akampa mzee mmoja ebwana yule mzee kumbe ana oda zake za kusambaza nyama kutoka Mombasa mikocheni mpaka mbezi miezi 8mzee kamaliza Hela ya bro,kimbembe bro kumbe akipewa Hela anakula na mkewe na hawara wake kesi mpaka polisi mzee kaja na daftari la mahesabu broo alikimbia aibu...nikajua bro ana roho ya kiwaki sana
Haahahhaa hii kazi mtu anaona kama amekupa bure lakin tajir kama hana malengo atajikuta amekula hela zote na chombo inabaki ya bodaaa ko inawauma matajiri an
 
Kila wiki elfu 70,Anazila kuja kushtuka kijana kamaliza mkataba! Hapo ugomvi ndio unapoanzia.Kijana anataka kadi,boda Bado nzima,hela ya tajiri bank empty
 
Siku hizi wana mchezo wa kuweka deni mtamalizana mwisho wa mkataba,kinachofuata aifanyii service pikipiki mpaka engine ianze kusumbua,anachofanya sasa ataanza kutaka kuongeza deni na usumbufu,utakasirika na kuchukua pikipiki yako,hapo ashatengeneza deni hata laki 3 ambayo atoweza kukulipa,na bado pikipiki utakuta mbovu ili kuirudisha barabarani inahitaji hata laki 2,hapo tayari kishakutia short ya laki 5 kwenye biashara ya faida mln 1.8 kwa miezi 10!boda sio wa kuwachekea
 
Maboss wengine wanazingua sema na boda wengine usipowakazia hata marejesho hawaleti
 
Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.
Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali.
Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na changamoto za hapa na pale,ilitokea siku Moja kakwama kumlipa bosi wake kutokana na kumuuguza mama yake mzazi Ambaye alikuwa amelazwa Hospitali,na yeye ndio kama mwenye uwezo kidogo! Bahati mbaya huyo Mama akafariki!Mwenye mwenye Mali hataki kusikia maelezo ya kuuguza Wala kufiwa! Kaenda kwa mwenyekiti wa mtaa na kushtaki anataka hela zake zote zilizobaki na zilibaki wiki Sita dogo amalize mkataba na kukabidhiwa kadi ili iwe Mali yake .!Cha ajabu mwenye Mali hataki kusikia habari ya kufiwa anadai haipo kwenye mkataba!Kumbe wengi wakiona vijana wanakaribia kumaliza mikataba,roho zinawauma wanaona kama vile wanawapa Bure!Jamaa kasema anatoa wiki ipatikane hiyo hela ya wiki Sita yaani laki nne na elfu ishirini,akitegemea dogo atakwama na ionekane kashindwa mkataba.Mungu si Athumani!Leoleo dogo kajichanga na wenzake kalipa,kadi ikawa mbinde kulipata.Acheni hizo jamani!
Akasome alubadili
 
Huyo kijana aliingia mkataba na choli.
Hakuna mikataba isiyo na ubinadamu.
Huyo tajiri ni kirus.
 
Matatizo mengine ni ya kibinadam hata kama hayaja andikwa kwenye mkataba; yanahitaji busara
Mf: Kuugua, kuuguliwa, kufiwa, chombo kupata changamoto nk Lazima busara itumike kwa kuongeza muda wa marejesho....
Kwenye mikataba ya kisheria hii tunasema force majure.
 
Back
Top Bottom