chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
Kapewa hela kazila bila kuweka akiba anaona anaumbuka na piki piki si mali yake tena. Mkuu kuna watu wanaroho mbaya sana na wivu uliopitiliza.
Hata kama haupo mkuu,kufiwa na mama, baba, mtoto uchungu wake mkubwa,mke,mume!Lazima uwe na utu.Mkataba unasemaje kuhusu kufiwa? Kama kipengele kilikuwepo kwamba ukifiwa usipeleke maokoto basi atakuwa kaonewa kama kilikuwepo na akaona kitambana ilitakiwa asisaini.
Bodaboda wengi jau ,wachache sana wanajielewa.
Kabisa na kaumbuka kweli dogo kamlipa hadi za wiki2zilizokuwa zimebaki!Kapewa hela kazila bila kuweka akiba anaona anaumbuka na piki piki si mali yake tena. Mkuu kuna watu wanaroho mbaya sana na wivu uliopitiliza.
Yaani nao wamiliki wanapoteza malengo waliyonunulia,wanaanza kuzitumbua!Nakumbuka bro ni mwalimu sasa alijichanga akanunua boda akampa mzee mmoja ebwana yule mzee kumbe ana oda zake za kusambaza nyama kutoka Mombasa mikocheni mpaka mbezi miezi 8mzee kamaliza Hela ya bro,kimbembe bro kumbe akipewa Hela anakula na mkewe na hawara wake kesi mpaka polisi mzee kaja na daftari la mahesabu broo alikimbia aibu...nikajua bro ana roho ya kiwaki sana
Hakiliki,lakini mkataba wa ovyo na mavi.
Tungekuwa tunapenda na Mali kaburini ,Roho mbaya zingezidi!Wamiliki wengi wanaumia mikataba ikikaribia kuisha, wengine huenda mbali zaidi kukuundia zengwe ukaibiwa na mengine mabaya zaidi
Wapi jhuko 2.8? Hakuna super profit hapoTena wenye Mali wanapata super profit!Mtu ananunua bodaboda m2.8,Aliyechukua mkataba anakuja kumpa tajiri M3.6,Kwa mwaka mmoja!
Na wengi wenye Roho mbaya hufa kwa machungu sana na mateso makali.Binadamu wenye mioyo ya kikatili ni wengi kuliko wema!!
Miezi 17 mkuu,hiyo nimepunguza tuu,Mimi nimepiga miezi 12!Wapi jhuko 2.8? Hakuna super profit hapo
Matajiri wenye akili hataki cash anakuambia daily weka kwenye account halafu tunza slip, mwisho wa mwezi mnafanya reconciliation maisha yanaendelea hivyo hivyo mpaka mkataba unaisha, ubaya wengi wakipewa teni teni wanazifanya hela za kulaTungekuwa tunapenda na Mali kaburini ,Roho mbaya zingezidi!
Tena wengine wasumbufu kila akiwa bar,anakuita umpe ten!Matajiri wenye akili hataki cash anakuambia daily weka kwenye account halafu tunza slip, mwisho wa mwezi mnafanya reconciliation maisha yanaendelea hivyo hivyo mpaka mkataba unaisha, ubaya wengi wakipewa teni teni wanazifanya hela za kula
Vitabu vya Bajaji na Bodaboda?Group la vitabu.
![]()
Wao hawaijui hiyo Laana,kwao ni hela tuu Mkuu! Mungu anawaona!Laana nyingine huwa ni za kujitafutatia.
Hakuna laana mbaya kama ya chozi la mtu aliedhulumiwa.
Hapoo alifanya la maana na Mungu atamsaidia alipokopa atalipa denied Mungu hamuachi mpambanaji.Kabisa na kaumbuka kweli dogo kamlipa hadi za wiki2zilizokuwa zimebaki!
NdioVitabu vya Bajaji na Bodaboda?