Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Tena wenye Mali wanapata super profit!Mtu ananunua bodaboda m2.8,Aliyechukua mkataba anakuja kumpa tajiri M3.6,Kwa mwaka mmoja!Ni dhuluma ya kiwango cha hali ya juu, bodaboda ni kazi nzito, bado tajiri anakudhulumu! Ni uuuungwana??
Maisha ya ovyo kabisa,afadhali hata jambazi!Hivi unajuwa kuna mtindo watu wa mikataba hawana tofauti na wakopeshaji wale wanajiita visakosi uchwara.
Ukifikisha mda wakaona unakaribia kumalizana nao wanakutengenezea jamu la kuibiwa au ndumba.ili mradi wakukwamishe wachukue
Nasikia hata kwenye hz boda boda kuna maboss wananduba ili vijana washindwe kumaliza mkataba wachukue chombo,ila pesa inatafutwa aiseeHivi unajuwa kuna mtindo watu wa mikataba hawana tofauti na wakopeshaji wale wanajiita visakosi uchwara.
Ukifikisha mda wakaona unakaribia kumalizana nao wanakutengenezea jamu la kuibiwa au ndumba.ili mradi wakukwamishe wachukue
Mvua ,jua vyao,wanaponea chupuchupu kuporwa, wengine wanakeaha ili Hesabu ya bosi itimie!Ilaaa watu Wana roho za kijasusi yaan ,daaa navuta picha tu dogo alivyokomaa miezi kumi na 17 yakumaliza mkataba alafu mtu umzulumu kwelii aiseee🤔🤔🤔
Umenena vyema,wengi huo utu hawana kabisa Tena ukionekana unakaribia kumaliza,anaona kama anakupa Bure!Matatizo mengine ni ya kibinadam hata kama hayaja andikwa kwenye mkataba; yanahitaji busara
Mf: Kuugua, kuuguliwa, kufiwa, chombo kupata changamoto nk Lazima busara itumike kwa kuongeza muda wa marejesho....
Sawa dada yangu nitakuja Tukuyu kabisa tukunane Laximi karibu na posta!Kwa moyo mzuri ulionao mkuu, tafadhali naomba uje hapa mbeya peak hotel nikununulie kitu😋
kwenye hili la bei ni sawa elewa mmiliki naye ni mfanyabiashara na 2.6 million inatoka cash lakini anairudisha kidogo kidogo ila kwenye lengo la mada yako umeeleweka vizuri ubinadamu unahitajika.Tena wenye Mali wanapata super profit!Mtu ananunua bodaboda m2.8,Aliyechukua mkataba anakuja kumpa tajiri M3.6,Kwa mwaka mmoja!
Hii kesi ngumuHabari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.
Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali.
Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na changamoto za hapa na pale,ilitokea siku Moja kakwama kumlipa bosi wake kutokana na kumuuguza mama yake mzazi Ambaye alikuwa amelazwa Hospitali,na yeye ndio kama mwenye uwezo kidogo! Bahati mbaya huyo Mama akafariki!Mwenye mwenye Mali hataki kusikia maelezo ya kuuguza Wala kufiwa! Kaenda kwa mwenyekiti wa mtaa na kushtaki anataka hela zake zote zilizobaki na zilibaki wiki Sita dogo amalize mkataba na kukabidhiwa kadi ili iwe Mali yake .!Cha ajabu mwenye Mali hataki kusikia habari ya kufiwa anadai haipo kwenye mkataba!Kumbe wengi wakiona vijana wanakaribia kumaliza mikataba,roho zinawauma wanaona kama vile wanawapa Bure!Jamaa kasema anatoa wiki ipatikane hiyo hela ya wiki Sita yaani laki nne na elfu ishirini,akitegemea dogo atakwama na ionekane kashindwa mkataba.Mungu si Athumani!Leoleo dogo kajichanga na wenzake kalipa,kadi ikawa mbinde kulipata.Acheni hizo jamani!
Sawa Mkuu!kwenye hili la bei ni sawa elewa mmiliki naye ni mfanyabiashara na 2.6 million inatoka cash lakini anairudisha kidogo kidogo ila kwenye lengo la mada yako umeeleweka vizuri ubinadamu unahitajika.
Nyepesi ni ipi Bush Dr!?Hii kesi ngumu
🤣🤭Huko ni kwa bibi...mi nipo mbeya sikuzoteSawa dada yangu nitakuja Tukuyu kabisa tukunane Laximi karibu na posta!
Mkataba unasemaje kuhusu kufiwa? Kama kipengele kilikuwepo kwamba ukifiwa usipeleke maokoto basi atakuwa kaonewa kama kilikuwepo na akaona kitambana ilitakiwa asisaini.Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake.