Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

Mkataba unasemaje kuhusu kufiwa? Kama kipengele kilikuwepo kwamba ukifiwa usipeleke maokoto basi atakuwa kaonewa kama kilikuwepo na akaona kitambana ilitakiwa asisaini.

Bodaboda wengi jau ,wachache sana wanajielewa.
Hata kama haupo mkuu,kufiwa na mama, baba, mtoto uchungu wake mkubwa,mke,mume!Lazima uwe na utu.
 
Yaani nao wamiliki wanapoteza malengo waliyonunulia,wanaanza kuzitumbua!
 
Tungekuwa tunapenda na Mali kaburini ,Roho mbaya zingezidi!
Matajiri wenye akili hataki cash anakuambia daily weka kwenye account halafu tunza slip, mwisho wa mwezi mnafanya reconciliation maisha yanaendelea hivyo hivyo mpaka mkataba unaisha, ubaya wengi wakipewa teni teni wanazifanya hela za kula
 
Tena wengine wasumbufu kila akiwa bar,anakuita umpe ten!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…