Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

Haahahhaa hii kazi mtu anaona kama amekupa bure lakin tajir kama hana malengo atajikuta amekula hela zote na chombo inabaki ya bodaaa ko inawauma matajiri an
 
Haahahhaa hii kazi mtu anaona kama amekupa bure lakin tajir kama hana malengo atajikuta amekula hela zote na chombo inabaki ya bodaaa ko inawauma matajiri an
Kila wiki elfu 70,Anazila kuja kushtuka kijana kamaliza mkataba! Hapo ugomvi ndio unapoanzia.Kijana anataka kadi,boda Bado nzima,hela ya tajiri bank empty
 
Kila wiki elfu 70,Anazila kuja kushtuka kijana kamaliza mkataba! Hapo ugomvi ndio unapoanzia.Kijana anataka kadi,boda Bado nzima,hela ya tajiri bank empty
Siku hizi wana mchezo wa kuweka deni mtamalizana mwisho wa mkataba,kinachofuata aifanyii service pikipiki mpaka engine ianze kusumbua,anachofanya sasa ataanza kutaka kuongeza deni na usumbufu,utakasirika na kuchukua pikipiki yako,hapo ashatengeneza deni hata laki 3 ambayo atoweza kukulipa,na bado pikipiki utakuta mbovu ili kuirudisha barabarani inahitaji hata laki 2,hapo tayari kishakutia short ya laki 5 kwenye biashara ya faida mln 1.8 kwa miezi 10!boda sio wa kuwachekea
 
Maboss wengine wanazingua sema na boda wengine usipowakazia hata marejesho hawaleti
 
Akasome alubadili
 
Huyo kijana aliingia mkataba na choli.
Hakuna mikataba isiyo na ubinadamu.
Huyo tajiri ni kirus.
 
Matatizo mengine ni ya kibinadam hata kama hayaja andikwa kwenye mkataba; yanahitaji busara
Mf: Kuugua, kuuguliwa, kufiwa, chombo kupata changamoto nk Lazima busara itumike kwa kuongeza muda wa marejesho....
Kwenye mikataba ya kisheria hii tunasema force majure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…