Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Cytochrome p450

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
5,638
Reaction score
15,044
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
 
Labda mwanamke wako mchafu au huna mzuka nae ulimuoa ili mradi tu usikose mke, ila pisi kali mzee hasa kipindi hiki cha mvua na kiubaridi unaanzaje kujifunika shuka lako mwenyewe.

Miguu yangu katikati ya mapaja yake na nido zake zinanichoma choma
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Kwa hiyo hujui raha ya kubadilishana joto?
Huna uzoefu wa kukumbatia huku umegeuziwa wesere?
Siku ukikumbatia mrembo kwa nyuma mwenye ka taco flani utatamani ufute uzi huu.
Aaaah 😂😂😂
 
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?

Unajua maswali mengine ni ya kipumbavu, wewe umewahi kuona wapi watu wagandiana wakitaka kulala usingizi?
 
Back
Top Bottom