Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.

Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!

Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Mkishafikishana kibo na mawenzi hapo kula mmoja anajiwa na usingizi mnono, kugandiana mtaikumbuka saa ngapi, hata kama mkisema mgandiane wakati hajampitiwa na njozi lazima mtaachiana tu.
 
Mimi nikilala mashariki asubuhi najikuta naamkia kusini asa sijui ataweza🤔🤣🤣🤣😓
Nakuonea wivu, nataman na mimi nilivyokua na uwezo wa kulala usingiz wa namna hiyo.
Now days unaweza jikuta tu umekaa kitandani unawazua mambo ni mengiii hata hujui uliamka muda gan, ndio unashtuka tena unajirud kutafuta usingizi 😂
 
Sio hivyo wapo wenye tabia hizi za kutopenda kugusana na mtu au ile kupuliana,, mara nyingi huwa ni kinyaa cha kujiendekeza na ubinafsi tu,, mbn kumla anamla wanamwagiana mi ute na majasho ijekuwa kushea shuka tuuuu
Labda kipindi cha joto kali, kama unamuonea kinyaa mke wako hata kumkumbatia utoe baridi basi atakua mchafu, ulikosea kuoa....
 
Natamanigi niulize hlo swali sema bora umenisaidia🤔🤔🤔wenye ndoa watujibu

Unakuta mdada anakuganda usingz ukianza tu anafurukuta usingz unapotea🤔

Mda mwngn ushamdinya mmeoga ila mnaanza kulala mkikumbatiana 🍆inasimama tena😁😁mnaelekezeaga wapi 🍆
 
Back
Top Bottom