Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Sio siku zote mtagandiana.
Na kuna siku yeye hata kachoka/hataki mechi huwezi lala umemganda maana mkuyenge utamkera kila muda uko wima na wewe utaharibu mishipa ya mkuyenge.

Bembelezaneni, peaneni space kidogo mkilala ila viungo vipumue.
 
Ngoja kwanza nicomment chochote kisha nirudi kusoma uzi.

Haki ya Mama nimecheka sana na hiyo title.. kwamba wanalala kwa kugandiana??

Broo ni raha sanaa
Kulala umejilaza kifuani mwa mtu 😍
 
Hata mimi siwezi kulala kama nitagusana na mtu, ila hua tunakumbatiana mwanzoni akilala yeye, nageukia upande ambao nipo comfortable.
Hivi ndivyo wengi huwa tunafanya. Hili la kulala ubavu kwa ubavu huku mmegandiana kama alivyosema mwanzisha thread ni gumu. Mikono si itachoka? Ukute tena na mmoja ni mnene akilalia mkono wa mwenza ataomba poo. Bado ukute ni sehemu yenye joto kama Dar halafu ni uswahilini hakuna AC...
 
Haiwezekani kugandiana muda wote, kuna mida yake baada ya hapo kila mtu 🤸🏻‍♂️. Atakayeshtuka atamfuata mwenzie kumkumbatia, au ukiona mtu amelala zake comfortable position unamuacha aenjoy Usingizi wake, usimguse usijemharibia usingizi.
 
Back
Top Bottom