Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Umeoa mkuu?Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi...
Bado bibie
Kua uyaone.Kumbe kuna kugandiana😌
Kwa hiyo hujui raha ya kubadilishana joto?Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Kwakweli nikue niyaone... na ninavyopenda kujiachia nikilala mbona atajikuta miguu iko shingoni kwake🤣🤣🤣Kua uyaone.
Hili suala la kugandiana na mwanamke usiku wakati wa kulala kiukweli limenishinda maana nashindwa kabisa kupata usingizi.
Nishazoea kila mtu alale upande wake tena kila mmoja na shuka yake, masuala ya kushare shuka moja pia siyawezi.
At the end naambiwa siko romantic!
Mnaoweza haya mambo hebu tuambieni huwa mnafanyaje?
Kwan mtalalia vitanda vya futi 4 kwa 6 au?Kwakweli nikue niyaone... na ninavyopenda kujiachia nikilala mbona atajikuta miguu iko shingoni kwake🤣🤣🤣