Mnaoweza kulala kwa kugandiana usiku na mwanamke hebu tuambieni mnawezaje?

Mi nilijaribu siku kadhaa ile unapitisha mkono chini ya kichwa chake anaulalia nashangaa dk kadhaa mkono unakufa ganzi, nikasema nipooze mkono kisa kuonekana romantic, nikamsukuma nikachomoa mkono wangu japo alilala analalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…