NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
MKUU UMEONGEA KIMPIRA SANA [emoji2935]Yes kwa Inonga huko sahihi kabisa.
Ana kiwango bora kabisa kakiwasha sana mataifa ya Afrika na kaibeba sana kongo.
Kimpira mtu akibisha kiwango cha Inonga atakuwa anaendekeza ushabiki tu.
Ila sio kwa Chama.
Huyu hapana hana consistency kabisa labda ni kwa sababu ya umri kumtupa mkono pia.
Ni mchezaji wa mechi ndogo tena sio zote.
Huwezi kumfananisha na Pacome kwa sasa ambaye anakupa ubora usiobadilika (consistency)kwa kila mechi iwe ndogo au kubwa.
Kabisa Chama kwa sasa asubiri ndo maana Yanga baada ya kumpata Pacome wamesahau kuhusu chama.Yes kwa Inonga huko sahihi kabisa.
Ana kiwango bora kabisa kakiwasha sana mataifa ya Afrika na kaibeba sana kongo.
Kimpira mtu akibisha kiwango cha Inonga atakuwa anaendekeza ushabiki tu.
Ila sio kwa Chama.
Huyu hapana hana consistency kabisa labda ni kwa sababu ya umri kumtupa mkono pia.
Ni mchezaji wa mechi ndogo tena sio zote.
Huwezi kumfananisha na Pacome kwa sasa ambaye anakupa ubora usiobadilika (consistency)kwa kila mechi iwe ndogo au kubwa.
HOJA MFU KABISA HII.Kwa maana hiyo umekwepa swali kwa kuuliza swali [emoji23]
Ngoja nikukumbushe.......
Mwamba wa Lusaka alikiwasha huko ivory coast hivi majuzi akiiwakilisha timu yake ya taifa CAFCC
Wakati huo mpaka bleach mkimbizi wa ivory coast alikuwa akipiga mbizi huko kigamboni tu maana hatambuliki huko ivory coast na hajawahi kuiwakilisha timu ya taifa hata kwa friends match tu.
Mwamba wa Lusaka ni mkuu kuliko huyo mkimbizi, hawezi kufananishwa na mkimbizi.
KWA MANTIKI HIYO UNATAKA KUSEMA MAMUNYETO NI BORA KULIKO CHE MALON KWA KUWA MAMUNYETO ALIITWA TIMU YA TAIFA?!Kwa maana hiyo umekwepa swali kwa kuuliza swali [emoji23]
Ngoja nikukumbushe.......
Mwamba wa Lusaka alikiwasha huko ivory coast hivi majuzi akiiwakilisha timu yake ya taifa CAFCC
Wakati huo mpaka bleach mkimbizi wa ivory coast alikuwa akipiga mbizi huko kigamboni tu maana hatambuliki huko ivory coast na hajawahi kuiwakilisha timu ya taifa hata kwa friends match tu.
Mwamba wa Lusaka ni mkuu kuliko huyo mkimbizi, hawezi kufananishwa na mkimbizi.
Wanaobisha hawalujui Hilo.Pacome anacheza Mpaka beki
WALITISHIA NA KUMFUKUZA KABISA.Simba walivyokandwa 5 na chama wao walisema Chama aliuza mechi
Hata ile mechi na ihefu mbarali aliperfom vizuri juzi misri pia tulimuona akiperform vizuriNi mjinga tu ndo anayeweza kumfananisha Pacome na Chama.
Hata mashabiki wenyewe wa simba ukiwaekea kati ya Pacome na Chama wachague mmoja ki uhalisia hawawezi kumchagua Chama.
Pacome kila mechi anapafomu yupo katika kiwango bora kabisa.
Chama baada ya mechi ya jana ndo wanaanza kumfananisha na Pacome, kwanini isiwe mechi za nyuma?
Kwasasa huwezi kumfaninisha Chama na Pacome.
Ni kumuonea tu Chama.
Mengine yatabaki kuwa ushabiki
Hakuitwa kwa sababu ni mkimbizi, sijashangaa bali ninaweka tofauti ya mkimbizi na mkazi.Unashangaa kutoitwa Pacome
Wewe wasemaKWA MANTIKI HIYO UNATAKA KUSEMA MAMUNYETO NI BORA KULIKO CHE MALON KWA KUWA MAMUNYETO ALIITWA TIMU YA TAIFA?!
Umekimbilia kuweka wafungaji bora wa muda wote!Hata ile mechi na ihefu mbarali aliperfom vizuri juzi misri pia tulimuona akiperform vizuri
Hebu tupe individual statistic zao mpaka walipo sasa
Kama kigezo cha kuitwa timu ya taifa ndio ubora basi hata ROMELU LUKAKU NI MCHEZAJI BORA KULIKO HATA WACHEZAJI BAADHI WA ARGENTINA AMBAO HAWAKUITWA timu ya taifa.Kwa maana hiyo umekwepa swali kwa kuuliza swali 😂
Ngoja nikukumbushe.......
Mwamba wa Lusaka alikiwasha huko ivory coast hivi majuzi akiiwakilisha timu yake ya taifa CAFCC
Wakati huo mpaka bleach mkimbizi wa ivory coast alikuwa akipiga mbizi huko kigamboni tu maana hatambuliki huko ivory coast na hajawahi kuiwakilisha timu ya taifa hata kwa friends match tu.
Mwamba wa Lusaka ni mkuu kuliko huyo mkimbizi, hawezi kufananishwa na mkimbizi.
SASA ULITAKA ACHEZE HUKU KALEGEA ILI MUMVUNJE?!Pacome anatumia nguvu sana kuonesha kipaji chake ila chama kazaliwa nacho kama Mess tu au zidane
MKUU USIUMIZE KICHWA KUMJIBU HUYO HANA HOJA.Kama kigezo cha kuitwa timu ya taifa ndio ubora basi hata ROMELU LUKAKU NI MCHEZAJI BORA KULIKO HATA WACHEZAJI BAADHI WA ARGENTINA AMBAO HAWAKUITWA timu ya taifa.
Nimemfuatilia Pacoume toka akiwa Asec mimosa yeye ni miongoni mwa wachezaji waliosaidia Asec kwenda nusu fainal CAFCC msimu ulioisha.
Kiuchezaji Pacoume ana vingi vya kukupa kuliko Chama.
Ukisema hivyo hata Musonda aliitwa Zambia na alicheza.
Hahaha usinalize energy yako mkuu kubishana na Jobe Fc wabishi sana hao.Umekimbilia kuweka wafungaji bora wa muda wote!
Kwani Pacome ameshamaliza kucheza kwamba hatofunga tena na hivyo kutozifikia hizo goli?
Pacome ana miaka 26 ana matarajio ya kucheza kwa miaka 7 mbele kuzifikia hizo goli kwa perfomance yake ni jambo la muda tu.
Chama kwa sasa ana miaka 33 huyu kucheza kwa miaka hata mitatu mbele kwa perfomance nzuri ni kitu cha kubahatisha tu.Umri umeshamtupa mkono.
Kwa msimu huu CAFCL hatua ya makundi Pacome ana goli tatu na assist 2 with unquestionable perfomance.
Chama ana goli na assist ngapi?
Ungakua muungwana ungetoa za Chama halafu ukaomba za Pacome.Hata ile mechi na ihefu mbarali aliperfom vizuri juzi misri pia tulimuona akiperform vizuri
Hebu tupe individual statistic zao mpaka walipo sasa
Kumbe siku hizi timu za taifa zinacheza CAFCC kama mashindano tu hujui halafu unachambua au unachamba?Kwa maana hiyo umekwepa swali kwa kuuliza swali [emoji23]
Ngoja nikukumbushe.......
Mwamba wa Lusaka alikiwasha huko ivory coast hivi majuzi akiiwakilisha timu yake ya taifa CAFCC
Wakati huo mpaka bleach mkimbizi wa ivory coast alikuwa akipiga mbizi huko kigamboni tu maana hatambuliki huko ivory coast na hajawahi kuiwakilisha timu ya taifa hata kwa friends match tu.
Mwamba wa Lusaka ni mkuu kuliko huyo mkimbizi, hawezi kufananishwa na mkimbizi.
asingetambuliwa na nchi yake asingeitwa,pale zambia pacome ndo angekuwa tegemezi wa taifa ila ila chama cha timu ndogo kakaa benchi mpk tako likaota suguUnaongelea pacome yupi, yule asiyetambuliwa na nchi yake au yule wa jf?
HAWEZI KUKUJIBU TENA.asingetambuliwa na nchi yake asingeitwa,pale zambia pacome ndo angekuwa tegemezi wa taifa ila ila chama cha timu ndogo kakaa benchi mpk tako likaota sugu
Unalinganisha ivory coast na Zambia!?..halafu Zambia wanekiwasha wapi?!Kwa maana hiyo umekwepa swali kwa kuuliza swali 😂