Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

Kwa akili hizo huyu mkeo angekuweka ndani mwaka mzima


 
Hao huwa tunakula tu, siyo kuoa
Niliwahi kujichanganya na mmoja hadi tukafikishana lodge Ila sikumkula baada ya mashine kugoma kabisa kuwaka.

Ilikuwa akipindua kope nikawa nahisi kama niko na kibwengo lodge sikumkula kabisa.

Sijui wewe unapata wapi ujasiri wa kumkula mwanamke wa hivyo
 
Hahaha..
Umesema mashine ilibuma, haikuwaka. Maanaake ingewaka ungekula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…