Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

Halafu wanawake wanajitesa sana na hayo mavitu fekero

Sidhani kama kuna mwanaume kamili anavutiwa na kucha za bandia, nywele za bandia, kope za bandia

Labda kama wanawake wanafanya hivyo kuwavimbia wanawake wenzao

Ila kihalisi wanaume hatunaga habari wala kuvutiwa na hizo takataka
 
Ni fahari sana kulifuga LISHUMILETA katika nyumba.

Hata kuosha vyombo hawezi ananata tu na kusubiri kuzagamuliwa mida ya night.

Huyu sio mke ni SHUMILETA ambaye kazi yake ni kugawa uroda na kuburudisha. Ni mtamu mno.

Ukitaka MKE unaenda kuchukua MWANAMKE. Wapo wengi na ni wazuri mno.

Kuna tofauti kati ya MKE na SHUMILETA. Lazima uelewe.

MKE ni kwa ajili ya kutunza familia, wakati SHUMILETA ni kwa ajili ya kugawa uroda.

Cc Lamomy Depal
Wizo punguza gubu 😂😂😂😂
 
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu.

NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI huyo ni mchawi mwana wa ibilisi.

Hao wadada ni wachawi na washirikina wazoefu waliojaa kiburi. Hawakubaliani na kile ambacho Mungu alifanya katika miili yao siku alipo wauuumba.

Bila shaka lengo la hao wadada ni kuwashawishi wanaume wawakubali kwamba wao ni wazuri sana ila kiukweli sio wazuri na wanatisha sana.

Mwanaume mwenzangu huwa unapata wapi ujasiri wa kudate na wanawake wa hivyo?
Huwa najiuliza hawa wenye kucha ndefu wakienda haja kubwa wakati wa kujisafisha si wanaweza wakachana kinyeo.
 
Nijuavyo mimi wanawake wote wajibandikao kope na kucha bandia huwa hawamkubali aliyewaumba, ni wapinzani wa wazi wazi wapingao uumbaji wa Mungu.

NB mtu yeyote anayepingana na MUNGU MUUMBAJI huyo ni mchawi mwana wa ibilisi.

Hao wadada ni wachawi na washirikina wazoefu waliojaa kiburi. Hawakubaliani na kile ambacho Mungu alifanya katika miili yao siku alipo wauuumba.

Bila shaka lengo la hao wadada ni kuwashawishi wanaume wawakubali kwamba wao ni wazuri sana ila kiukweli sio wazuri na wanatisha sana.

Mwanaume mwenzangu huwa unapata wapi ujasiri wa kudate na wanawake wa hivyo?
Mjitaje apa
 
Back
Top Bottom