Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

mchukia urembo kwa mwanamke
Mie sichukii urembo kwa mwanamke, Ila sivutiwi na kope na hizo kucha za bandia huwa namuona mbaya sana anayejibandika hivyo vitu vya bandia.

Ila urembo kama wa kuvaa shanga na hereni die nawakubali sana watumiao hivyo vitu.

Vipi wewe ni mdau wa kope na kucha bandia?
 
sjawah ata toka nizaliwe,,ata makeup tu siwezi 😂😂 naona inajaza uso,,rangi ya kucha siwezi naona kucha znakua nzto,,hereni n iz ndogo ndogo sana,,sjui cheni bangili siwezi woooiii sjui nkoje mm🙌🏾🙌🏾😂😂ila waache wanaopenda watumie bwan
 
Sema ww sio mpenzi wa hivyo vitu, mishanga unaipenda ila mikope unaiogopa? We mzinziiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…