Mnapata wapi ujasiri wa kuchumbiana na wanawake wenye kope na kucha bandia?

Halafu wanawake wanajitesa sana na hayo mavitu fekero

Sidhani kama kuna mwanaume kamili anavutiwa na kucha za bandia, nywele za bandia, kope za bandia

Labda kama wanawake wanafanya hivyo kuwavimbia wanawake wenzao

Ila kihalisi wanaume hatunaga habari wala kuvutiwa na hizo takataka
 
Wizo punguza gubu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwa najiuliza hawa wenye kucha ndefu wakienda haja kubwa wakati wa kujisafisha si wanaweza wakachana kinyeo.
 
Mjitaje apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…