Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!

Acha kuamini mambo ya kishirikina hakuna uchawi wowote Mkuu
 
Hii si picha halisi ya kupiga na camera hii digital art work imetegenezwa na program kama photoshop
 
Kwahiyo hapo Uchawi uko wapi?
 
Kwahiyo hapo, chupi ikipigwa kisu ndiyo inakuwaje?
Huyo mwenye chupi anafanyaje? Sijaelewa!
 
Picha la kutengeneza hili.

Pili mchawi akikutaka na mungu akaamua mtihani ukukute baasi imekula kwako.

Enjoy maisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…