UmejuajeAnapoteza kizazi pengine au anakua mtu wa kubreed every dad...Binadamu wabaya
Mkuu kusoma hujui hata picha uelewi, hivi kisu kimechoma wapi hapo? na hizo zilizo kwenye pichu ni nini?Umejuaje
Kwenye kamba juani.....Evelyn Salt unaanikaga wapi nikakuanulie...
Unaua nini juani...Kwenye kamba juani.....
Siui chochote nataka tu zikauke kwa juaUnaua nini juani...
Nitakuachia chache, zingine nitapita nazo...Siui chochote nataka tu zikauke kwa jua
Ukazichome kisu au sioNitakuachia chache, zingine nitapita nazo...
Zaidi ya kisu, nina faida nazo kubwa sana...Ukazichome kisu au sio
Ukweli kabisa,watu tuwe makini jmnMnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!
View attachment 3393704
Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini??
Endeleeni kuzianika tu!!
Tena ndio kikusanya sadaka Chao na kupambana mahasimu wao waganga wa kienyeji.Ungekua uchawi haupo makanisan na misikitin usinge kua unapigwa vita
Stuka!
Hawajuhi haho.Watu ni wabaiya saana.Watawarogerezea hadi wahuhone moto!Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!
View attachment 3393704
Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini??
Endeleeni kuzianika tu!!
Inategemea na mhusika anatakaje,au amenuia nn kimkute huyo anaemfanyia ubaya, though mara nyingi ni wanaharibu matumbo ya uzazi,etcKwahiyo hapo, chupi ikipigwa kisu ndiyo inakuwaje?
Huyo mwenye chupi anafanyaje? Sijaelewa!
Naunga mkono hojaUngekua uchawi haupo makanisan na misikitin usinge kua unapigwa vita
Stuka!
Mi naona wasifue kbs 🤔Kwenye kamba juani.....