Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
- #41
Wanajizima data tu ata kwa vitu ambavyo vipo waziNaunga mkono hoja
Wanajizima data tu ata kwa vitu ambavyo vipo waziNaunga mkono hoja
Ushirikina upo kama huuamini subiri siku yakufikeAcha kuamini mambo ya kishirikina hakuna uchawi wowote Mkuu
Hakuna kitu Kama hichoUshirikina upo kama huuamini subiri siku yakufike
Sawaa tuombe pumziHakuna kitu Kama hicho
No i have been through a lot ukiona nakuambia hivyo fahamu nimefanya research ya kutoshaSawaa tuombe pumzi
Wewe utakuwa ndiye mchawi mkuu, maana huwezi pingq kwqmbq uchawi haupo wakati hata vitabu vitakatifu unavyo viamini wewe vimeuandikaAcha kuamini mambo ya kishirikina hakuna uchawi wowote Mkuu
Wacha nikuulize hivi unaamini dini ipi?No i have been through a lot ukiona nakuambia hivyo fahamu nimefanya research ya kutosha
Mimi I'm Muslim Ila uchawi ni psychological trick ambayo imeletwa kwa jamiiWacha nikuulize hivi unaamini dini ipi?
Plz jibu hlf tuendelee na kuelimishana
Ungese huuMnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!
View attachment 3393704
Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini??
Endeleeni kuzianika tu!!
Muislamu unakataa uchawi hivi suratul falaq nnasi zinahusu nini kwenye qur'an?Mimi I'm Muslim Ila uchawi ni psychological trick ambayo imeletwa kwa jamii
Ana jizima data uyo mkuuMuislamu unakataa uchawi hivi suratul falaq nnasi zinahusu nini kwenye qur'an?
Naona amekimbiaAna jizima data uyo mkuu
LaZima mana anabisha vitu ambavyo vipo waziNaona amekimbia
Ivi hizi habari za kurogana zina uhalisia wowoteHata usipoanika wakiamua kukuroga watakuroga tu
As as muslim if you denied sihri it seems even you denied qur'an because qur'an it already tells everything including sihriLaZima mana anabisha vitu ambavyo vipo wazi
Mikwara tu hiiMnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!
View attachment 3393704
Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini??
Endeleeni kuzianika tu!!
Watu wanaoenda huko pia wako outdated.Ungekua uchawi haupo makanisan na misikitin usinge kua unapigwa vita
Stuka!