Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!

Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!

Acha kuamini mambo ya kishirikina hakuna uchawi wowote Mkuu
Hujakutana nayo mshukuru Mungu. Yaani usiku watu wanatembea juu ya bati kama wako kwenye paredi mwendo wa taratibu au kivuli cha mtu anakuchungulia mlangoni na mlango umefungwa hizo ni advertisment tu sinema haijaanza
 
Back
Top Bottom