Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!

No i have been through a lot ukiona nakuambia hivyo fahamu nimefanya research ya kutosha
Wacha nikuulize hivi unaamini dini ipi?
Plz jibu hlf tuendelee na kuelimishana
 
Ungese huu
 
LaZima mana anabisha vitu ambavyo vipo wazi
As as muslim if you denied sihri it seems even you denied qur'an because qur'an it already tells everything including sihri

2:102
Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru, bali mashet'ani ndio walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia nafsi zao laiti wangelijua.
 
Mikwara tu hii
 
Chupi tu kumwagiwa tomato na kuchomwa kisu unamaindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…