Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

Mpaka nawaza nipige ukuta hichi kiwanja cha jirani. Ni bonge la eneo mwenye simjui na hajaja miaka mingi
Unaelement za. Na dhulma haiachi mtu salama kumbuka sheria ya ardhi inasema ardhi ni mali ya serikali ww u atamani mali ya serikal angalia utakuja kuolewa na mizimu au uwaachie msala watoto zako
 
Jina hulijui? Chukua namba yake nenda polisi kaombe kibali uende mtandao husika wa simu utafute jina la mmiliki halali wa zamani wa hiyo number hapo utapata urahisi wa kumfatufa na kujua ndugu na jamaa au hata mke na watoto wake.
Akifanya hivyo hiyo nyumba itakuwA ya Mkuu wA kituo cha polisi acha kumshauri ujinga hapa tupo bongo acha kujisahaulisha hapa sio Denmark alaa!kuna muosha magali mmoja siku nyingi kidogo zimepita aliwahi Lakini basi .Usimsikilize huyu.
 
Hata iwe vp haihalalishi kuitumia nyumba hiyo kwa vyovyote vile nenda serikalini kabidhi kisichokua chako huo ndio utaratibu. Bot kuna kitngo cha pesa chafu mfano umeokota bilioni na haikuwezekana kupata muhusika so I ahifadhiwa mfuko maalum lakin haimaanishi mtu ajitumbulie mtu yyte akipeleka tetesi kwenye mamlaka unaitwa mwizi au mvamizi
Ebu muone huyu kwa hiyo aipeleke serikalini?yaani nyumba zote hizi ilizonazo serikali bado akawaongezee zingine mbona serikali haiwAgai watu wasiokuwA na nyumba ?kwA hiyo we ukiokota bilioni unazipeleka Bot?kwa hiyo wao ndo wAnaweza kuzihifadhi na kuzitumia ? Au ndo uzalendo mpaka kwenye bilioni za kuokota?
 
Unaelement za. Na dhulma haiachi mtu salama kumbuka sheria ya ardhi inasema ardhi ni mali ya serikali ww u atamani mali ya serikal angalia utakuja kuolewa na mizimu au uwaachie msala watoto zako
Acha kumtisha wewe serikali iliumba lini hiyo Ardhi mpaka iwe mali yake? hivyo ni vifungo vya ujanja ujanja ni sawa na kuambiwA mtoto ni mali ya serikali wakati kuanzia mimba mpaka anaoa hiyo serikali haiusiki na chochote alafu inajimilikisha tu from nowhere acheni kuona watu hawana Akili.
 
Akifanya hivyo hiyo nyumba itakuwA ya Mkuu wA kituo cha polisi acha kumshauri ujinga hapa tupo bongo acha kujisahaulisha hapa sio Denmark alaa!kuna muosha magali mmoja siku nyingi kidogo zimepita aliwahi Lakini basi .Usimsikilize huyu.
Tatizo serikali zetu Zina watu makanjanja
 
Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.

Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa Bangaloo lake, alikuwa na uwezo na alijenga jumba la kifahari haswa na mafundi aliotumia aliniomba nimuunganishe wale walionijengea.

Nyumba ikiwa hatua za mwisho hii ilikuwa October 2012 jamaa akapotea, simu ikawa hazipokelewi baada ya mda hapatikani kabisa, Hakuna mtu anaejua alikuwa anakaa wapi, site tulizoea kumuona akiwa mwenyewe.

Na viwanja vilikuwa Bado havijapimwa kipindi hicho, hata Ardhi hamna detail zake.

Nyumba yenye thamani ya zaidi ya Tsh 300m inapotea pasipo ndugu kujua.

Kuna mwingine ni mwanajeshi mstaafu alinunua bonge la pori Goba - Dsm kipindi Cha zamani, Hakushirikisha familia japokuwa alikuwa na mke na watoto wakubwa sana.

Alimuachia mamlaka yote ya uangalizi wa eneo balozi wa ule mtaa, Mwaka Juzi alianza kuuza lile eneo lake baada ya kulipima, Kipindi hicho alikuwa anaumwa Yuko Nairobi, mimi nilipelekwa na Dalali nikiwa natafuta kiwanja. Unapitia Kwa Balozi unaongea akiwa Nairobi anakupa Account unalipa mnaandikisha na Balozi Kwa niaba yake, Yule Mzee sijui Nini kilimkuta alikuwa anauza viwanja Kwa bei ya chini sana sqm moja Kwa Goba alikuwa anauza Tsh 45,000/=

Nilinunua baadhi ya viwanja pale, na Bado ananidai 30m

Mwaka huu tumepata taarifa kafa nashindwa kuitafuta familia yake kuwaambia kwamba baba yao anaidai maana wanaweza kuanziaha mgogoro, Japo mke wake yupo na watoto wake.

Tulinunua maeneo Yale wote tulishabadilishq umiliki

Alikuwa na bonge la eneo hekari 10 zinafika, mjumbe kafaidi huku mke na watoto hawajui Chochote.

Wakuu tunapofanya maendeleo tujitahidi familia zijue hata kama Kuna ugomvi kiasi gani, basi kama sio mkeo Tafuta ndugu mnaoelewana waoneshe, Hatujui kesho yetu, Kuna Vifo vya ghafla.

Huyu Kwa asilimia kubwa atakuwa kashakufa. Nyumba nimebaki naipalilia Mimi Kwa sababu ni Jirani yangu ili isiwe sehemu ya kutumza wadudu. Raia wanajua ni yangu
Kama mlikuwa mnapata wasaa wa kuongea hata majina yenu na yawezekana sehemu mnazoishi mlielezana.Hukumbuki alikuambia anaitwa nani?Kwenye simu ulihifadhi namba zake kwa jina gani?
 
Mkuu
Watu wansema tu ilihali hawafahmu mimi ni mmoja wa matukio kama hilo mzee alijenga nyumba maeneo ya pugu hadi leo hatujui ipo maeneo gani aliwahi kuwapeleka madogo wanaonifutia kipindi icho uyo anaenifuatia akiwa na miaka saba mwingine 4 mzee amefariki nipo shule tunakuja kupewq taarifa kuwa mzee aliijenga pugu mnafahamu hakuna anayejua ndiyo ikaishia ivyo tu
 
Lipa kwanza hizo mil 30 unazodaiwa za kiwanja , tofauti na hapo karma hazitokuacha

Itafute familia ya huyo marehemu uwalipe hela yao.
 
Jamaa namjua Kwa jina moja tu Allen, 2012 enzi hizo nadhani kulikuwa hamna usajili wa NIDA, Ardhi ilikuwa suluhisho, Nako nimegonga mwamba viwanja vilikuwa havijapimwa
Kadiria umri wake kwa sasa au wakati huo wa 2012 alikuwa na miaka mingapi?
 
Jina hulijui? Chukua namba yake nenda polisi kaombe kibali uende mtandao husika wa simu utafute jina la mmiliki halali wa zamani wa hiyo number hapo utapata urahisi wa kumfatufa na kujua ndugu na jamaa au hata mke na watoto wake.
Kwa mwenendo wa sasa hivi unadhani Kuna mtu wa kumwamini tenah
 
Jimilikishe tu kwa taadhali akirudi unampa nyumba yake kuliko kuacha ielee tu, kua raia wakijua hilo wannaweza kukua ili wauze we jipe umiliki
 
Wakuu Habari zenu.
Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki.

Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa Bangaloo lake, alikuwa na uwezo na alijenga jumba la kifahari haswa na mafundi aliotumia aliniomba nimuunganishe wale walionijengea.

Nyumba ikiwa hatua za mwisho hii ilikuwa October 2012 jamaa akapotea, simu ikawa hazipokelewi baada ya mda hapatikani kabisa, Hakuna mtu anaejua alikuwa anakaa wapi, site tulizoea kumuona akiwa mwenyewe.

Na viwanja vilikuwa Bado havijapimwa kipindi hicho, hata Ardhi hamna detail zake.

Nyumba yenye thamani ya zaidi ya Tsh 300m inapotea pasipo ndugu kujua.

Kuna mwingine ni mwanajeshi mstaafu alinunua bonge la pori Goba - Dsm kipindi Cha zamani, Hakushirikisha familia japokuwa alikuwa na mke na watoto wakubwa sana.

Alimuachia mamlaka yote ya uangalizi wa eneo balozi wa ule mtaa, Mwaka Juzi alianza kuuza lile eneo lake baada ya kulipima, Kipindi hicho alikuwa anaumwa Yuko Nairobi, mimi nilipelekwa na Dalali nikiwa natafuta kiwanja. Unapitia Kwa Balozi unaongea akiwa Nairobi anakupa Account unalipa mnaandikisha na Balozi Kwa niaba yake, Yule Mzee sijui Nini kilimkuta alikuwa anauza viwanja Kwa bei ya chini sana sqm moja Kwa Goba alikuwa anauza Tsh 45,000/=

Nilinunua baadhi ya viwanja pale, na Bado ananidai 30m

Mwaka huu tumepata taarifa kafa nashindwa kuitafuta familia yake kuwaambia kwamba baba yao anaidai maana wanaweza kuanziaha mgogoro, Japo mke wake yupo na watoto wake.

Tulinunua maeneo Yale wote tulishabadilishq umiliki

Alikuwa na bonge la eneo hekari 10 zinafika, mjumbe kafaidi huku mke na watoto hawajui Chochote.

Wakuu tunapofanya maendeleo tujitahidi familia zijue hata kama Kuna ugomvi kiasi gani, basi kama sio mkeo Tafuta ndugu mnaoelewana waoneshe, Hatujui kesho yetu, Kuna Vifo vya ghafla.

Huyu Kwa asilimia kubwa atakuwa kashakufa. Nyumba nimebaki naipalilia Mimi Kwa sababu ni Jirani yangu ili isiwe sehemu ya kutumza wadudu. Raia wanajua ni yangu

Ulikuwa hujui hata jina lake na kabila yake huyo jirani yako? Hamjawahi kuongea kujua alikuwa anafanyia kazi wapi? angalau hiyo ingeweza kusaidia kujua taarifa zake..

But mimi nilishawahi kukaa miaka kadhaa sijaenda kuangalia plot yangu, siku niliyoenda nilipotea kwanza kwa sababu nilikuta kamtaa kamejengeka ila kiwanja kilikuwepo. Majirani walifikiri nimekufa..lakini namba yangu walikuwa nayo ila hawajanipigia.. kwa hivyo huwezi jua, wewe endelea kumtunzia anaweza akaja siku moja
 
Alisema anafanya kazi TCRA ila huko TCRA hawamtambui huyu mtu. Nadhani jamaa alikuwa na usiri flani kwenye taarifa zake
 
Hapana mkuu. Kaondoka mafundi wakiwa wanamdai na nikatoa Hela zangu zaidi ya 5m nikajua akija atarudisha. Mpaka Leo. Lazma angetoa taarifa.

Na Hardware alikuwa ashaweka uaminifu hivyo alikuwa anachukua vifaa anakuja kulipa hata baada ya wiki moja, Mwenye Hardware mpaka anaondoka Kuna deni la 16m
Lipa hilo deni, tunza nyaraka. Ikitoke akarudi au mtu yeyote mwenye taarifa naye unamuonesha deni anakulipa.
 
Back
Top Bottom