Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

Huyu haongei kwa uzalendo bali kwa husuda na kijicho kwa kuwa neema imemuangukia mwenzake hivyo anatoa ushauri sio kwa lengo la kumsaidia bali wakose wote.......hata yeye mwenyewe asingefanya anachomshauri mwenzie kufanya.........
 
Dunia imeharibika nyakati hizi

Unaweza washirikisha ndugu na familia.....wakakuua ili wawahi kuchukua jasho lako.......

Moyo wa mtu ni kiza kinene.......
 
Ingia kwenye hiyo nyumba ya jirani yako bila kutoa taarifa popote ili kupunguza jambo kuwa gumu, ipangishe na kuihudumia. Fedha zake zihifadhi, utakuja kumpa pindi atakapopatikana au pindi nduguze watakapokuja. Usiiache iendelee kukaa tupu

Kama ukiona ni vyema kutoa taarifa serikali ya mtaa, fanya hivyo pia. Ila hapo ndio unaweza shawishi waibuke matapeli na kudai hiyo ni nyumba ya ndugu yao
 
Hapa home kuna kiwanja kama nusu eka sijamwona mwenyewe mwaka wa 6 sasa . Nalima mihogo tu. Wanadamu wengi ni wajinga sana. Mtu anaficha mali utadhani roho, huyu jamaa sijui kafa
Sometimes maisha yanafanya watu wawe wapweke sana mkuu. Yaani unakuta jamaa hajaficha mali bali amekosa mtu wa kumshirikisha kutokana na kuwa mpweke, ametengwa au amejitenga na nduguze.

Huku JF kuna uzi mtu anataka kujua watu wanapataje marafiki maana yeye ameshindwa kupata rafiki
 
Kabisa
Kuna watu wametendwa na ndugu anaona bora akae peke yake
 
Tupambane wakuu ila tuhakikishe familia zinafaidi jasho letu
 
Kuna ukweli hapa.
Ndugu wengi ndio Wachawi
 
Hiyo nyumba ya jamaaa,Ni yako kwa Sasa.
 
Inaonekana wewe huna dhiki Sana, baada ya muda tafuta yatima mmoja mpe ,hahahaah
 
Huko serikalini wataifanyia Nini hiyo nyumba au kiwanja?
 
Ishu za familia ni changamoto sana. Umeandika ukweli mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ