David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Nyie mbumbumbu mtaumia nini wakati mmepigwa nje ndani,on aggregate 3-0.Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
we ni mpuuzi tunakupuuzaa kama hivi....Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa ๐ธ๐ธ wameonewa.
Tayari ๐ธ๐ธ mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Tuoneshe na video ya penati aliyopiga Aziz ki.
Utopolo tumekufa KIBINGWA, pye pye pye pye fwi, nnje ndani Makolokolo kakandwa 3-0.Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
Kagoli hako hako ndiyo huzalisha Watoto 12 kwa nguruwe na kuzalisha kiumbe chochote hai duniani, Mbumbumbu ni Mbumbumbu tu [emoji1787]Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
Utopolo mmekaza kweli mfike penati ili mzipaishe.Utopolo tumekufa KIBINGWA, pye pye pye pye fwi, nnje ndani Makolokolo kakandwa 3-0.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Williams akamuonesha azizi ki kuwa lile sio bao, akaamua kuupangua mkwaju wake wa penalt wazi wazi.Mie nilivunjika mbavu pale Aziz ki alipoachia shuti halafu likapanguliwa na huyo dogo [emoji23][emoji23]
Aziz ki aliishia kupanua domo na kulamba nyasi kwa uchungu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani babuu kwann lakini?Una hoja naomba usikilizwe!
Na ukiendelea hivi wallahi utafika mbali!
Williams kaharibu kabisa CV za AzizWilliams akamuonesha azizi ki kuwa lile sio bao, akaamua kuupangua mkwaju wake wa penalt wazi wazi.
Williams hataki utapeli kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchezaji gani hajawahi kukosa penati duniani? Mbeleko ya kukataa goli halali lilishawatoa Wachezaji mchezoni hakuna mwenye akili atajificha kwenye kichaka cha penati ilihali hata huyo huyo kipa William aligongwa vizuri sana AFCON na kuwa mpole.Utopolo mmekaza kweli mfike penati ili mzipaishe.
Ok, wachezaji walivurugwa na VAR wakapaisha mapenati yao wakatoka.Mchezaji gani hajawahi kukosa penati duniani? Mbeleko ya kukataa goli halali lilishawatoa Wachezaji mchezoni hakuna mwenye akili atajificha kwenye kichaka cha penati ilihali hata huyo huyo kipa William aligongwa vizuri sana AFCON na kuwa mpole.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aziz ki yuko salamanda tower anatukana kibuki nabe. WoiiiihWilliams kaharibu kabisa CV za Aziz
Hata atukane matusi yote safari imeishia kwenye robo tu ๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aziz ki yuko salamanda tower anatukana kibuki nabe. Woiiiih
Hawa mbumbu wamesharidhika na mafanikio ya robo faina wakati mashabiki wa Yanga wanaumia waliitaka FainaliMnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.
Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.
Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?
Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.
Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Ipo wapi hiyo fainali ya ๐ธ๐ธ?Hawa mbumbu wamesharidhika na mafanikio ya robo faina wakati mashabiki wa Yanga wanaumia waliitaka Fainali
Diarra kudaka tu kapenalty kamoja akaanza kuwatoa watu akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua hamjui Williams, woiiiih
Kwahiyo mpo fainali?Hawa mbumbu wamesharidhika na mafanikio ya robo faina wakati mashabiki wa Yanga wanaumia waliitaka Fainali
Hivi siku hivi ukianzisha Uzi unalipwa?Hata simba wenzako watakuona mpuuzi.