Mnapojadili kuwa Yanga kaonewa mjadili pia ubovu wa Yanga kwenye upigaji wa penati

Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
Nyie mbumbumbu mtaumia nini wakati mmepigwa nje ndani,on aggregate 3-0.
Kweli umbumbumbu kipaji
 
Sawa
20240406_002531.jpg
 
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.

Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.

Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?

Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa 🐸🐸 wameonewa.

Tayari 🐸🐸 mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
we ni mpuuzi tunakupuuzaa kama hivi....
 
Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
Utopolo tumekufa KIBINGWA, pye pye pye pye fwi, nnje ndani Makolokolo kakandwa 3-0.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
Kagoli hako hako ndiyo huzalisha Watoto 12 kwa nguruwe na kuzalisha kiumbe chochote hai duniani, Mbumbumbu ni Mbumbumbu tu [emoji1787]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mie nilivunjika mbavu pale Aziz ki alipoachia shuti halafu likapanguliwa na huyo dogo [emoji23][emoji23]

Aziz ki aliishia kupanua domo na kulamba nyasi kwa uchungu [emoji23][emoji23]
Williams akamuonesha azizi ki kuwa lile sio bao, akaamua kuupangua mkwaju wake wa penalt wazi wazi.

Williams hataki utapeli kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Williams kaharibu kabisa CV za Aziz
 
Utopolo mmekaza kweli mfike penati ili mzipaishe.
Mchezaji gani hajawahi kukosa penati duniani? Mbeleko ya kukataa goli halali lilishawatoa Wachezaji mchezoni hakuna mwenye akili atajificha kwenye kichaka cha penati ilihali hata huyo huyo kipa William aligongwa vizuri sana AFCON na kuwa mpole.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mchezaji gani hajawahi kukosa penati duniani? Mbeleko ya kukataa goli halali lilishawatoa Wachezaji mchezoni hakuna mwenye akili atajificha kwenye kichaka cha penati ilihali hata huyo huyo kipa William aligongwa vizuri sana AFCON na kuwa mpole.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ok, wachezaji walivurugwa na VAR wakapaisha mapenati yao wakatoka.
 
Mnalaumu eti refa kakataa goli la Yanga, mnaongea kwa uchungu na jazba huku mkitokwa mate na kamasi.

Hamgusii chochote kuhusu kipindi cha penati. Katika kupigiana penati mlipata nafasi nzuri ya kumuumbua huyo aliyewanyima goli, lakini kwa sababu ya ubutu wa wapigaji hamkufanya lolote.

Huyo Aziz ki aliyefunga goli lililokataliwa ilikuwaje akashindwa kurudisha goli lake alilodhurumiwa pale alipoenda kupiga penati?

Ni kichaa tu anayeweza kusema kuwa [emoji196][emoji196] wameonewa.

Tayari [emoji196][emoji196] mmeshakuwa Mwakarobo jr kihalali kabisa, acheni kuwalaumu waamuzi.
Hawa mbumbu wamesharidhika na mafanikio ya robo faina wakati mashabiki wa Yanga wanaumia waliitaka Fainali
 
Back
Top Bottom