David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Nyie mbumbumbu mtaumia nini wakati mmepigwa nje ndani,on aggregate 3-0.Tumewah sis Simba kufia south Africa Kwa mikwaju ya penalty tukawaambia tumekufa kiume wakabeza binafsi najua mashabiki wa Simba hawaumii km walivyo wa yanga na ilikupoza machungu ni kujadili ka goli kaliko kataliwa
Kweli umbumbumbu kipaji