Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Kuna mambo mengine ni vizuri pia kuconsult watu wenye experience.Za kuambiwa changanya na za kwako - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo mengine ni vizuri pia kuconsult watu wenye experience.Za kuambiwa changanya na za kwako - Jakaya Mrisho Kikwete wa Msoga
Mkuu, Haimaanishi kila aliyefanyiwa jambo flani na wewe utafanyiwa. Kipindi kile watu walikuwa wanalalamika parcel zao kupotelea post office, ni kweli ila wengine wakati huohuo tulikuwa tukiagiza na tunapata bila shida. Unapoamua kuagiza kitu kubaliana pia na Risk unayoweza kutana nayo haswa watu wa free shipping. Ni bora kama unauwoga na unachoagiza kina thamani kubwa utumie DHL ili usipatwe na preasure.Kuna mambo mengine ni vizuri pia kuconsult watu wenye experience.
Anyway, nitatumia Speedaf. Acha tu niwe risk taker.Mkuu, Haimaanishi kila aliyefanyiwa jambo flani na wewe utafanyiwa. Kipindi kile watu walikuwa wanalalamika parcel zao kupotelea post office, ni kweli ila wengine wakati huohuo tulikuwa tukiagiza na tunapata bila shida. Unapoamua kuagiza kitu kubaliana pia na Risk unayoweza kutana nayo haswa watu wa free shipping. Ni bora kama unauwoga na unachoagiza kina thamani kubwa utumie DHL ili usipatwe na preasure.
DHL unaweza kushangaa shipping fee inakuwa kubwa marambili ya bei ya kununulia product yako. Nimeagiza zaidi ya mara 20 natumia free shipping au nikilipia shipping haizidi Tzs. 5000 na Mizigo yote imefika kanma nilivyoagiza. unachotakiwa kabla ya kuagiza soma review za seller hapo ndo utajua unafanya biashara na mtu wa aina gani.Anyway, nitatumia Speedaf. Acha tu niwe risk taker.
Kuliko kutumia DHL ni vyema ninunue Bongo, kuliko kulipia hela nyingi kwenye authorities za ajabu-ajabu, mwisho wa siku bei iwe kama Bongo tu.
Kuna comment huko juu nimeicopy inasema hivi[emoji116][emoji116]
DHL ili iwe haraka inatakiwa uwe na hela. Maana watataka clearance uwalipe Tshs. 113,000/= na bado utalipa gharama za ukaguzi TBS na ukijichanganya utalipa na kodi TRA, kwa kitu kidogo tu. Speedaf ni free
Sasa kuna maana gani ya kutumia DHL
Duh bora uagize kwa Speedaf tuDHL unaweza kushangaa shipping fee inakuwa kubwa marambili ya bei ya kununulia product yako. Nimeagiza zaidi ya mara 20 natumia free shipping au nikilipia shipping haizidi Tzs. 5000 na Mizigo yote imefika kanma nilivyoagiza. unachotakiwa kabla ya kuagiza soma review za seller hapo ndo utajua unafanya biashara na mtu wa aina gani.
Nilifanikwa, na ile product nimesha receiveTracking number ikianza na TZ000
View attachment 2538050
- Tambua mzigo unapita mikononi mwa speedaf.
Baada ya wiki mbili angalia update ya mzigo wako, utaona mahala umefikia.
DHL unaijua gharama yake ?? Au unaongea tuWatakuja watu kukuambia wanaweza kukusaidia kuupata mzigo wako kwa hara kisha wakupige.
Ungetumia DHL
Wewe umechagua caino super economy tulia tu watakufikia kuanzia wiki 4 ,aliexpress wiki 2 hadi 3 DHL huwa 7 dys ila jiandae kwa gharama mlimaIla hapo kwenye jina la shipper speedaf hajaandikwa hii imekaaje?
Inategemea na njia utakayotumia njia zinatofautiana ndio maana kwako umechagua njia ya kimasikinj caino super economy tuliza mshono itachukua kuanzia wiki 4 kuupata mzigoAhaa ila mbona wameandika delivery ni mwezi wa tano hafu nimeskia watu wanasema ni wiki mbili
Naomba leo nipingane na wewe japo ndio mambo yako haya ya mtandaoni ila kuna wakati yawezekana unapitiwa. Speedaf kwenye aliexpress inatumika kama standard shipping method kuja huku kwetu pia alibaba. Ila si kwamba zote zinazoanzwa na Tz….. kwamba carrier ni SpeedAf.
Turudi kwenye post hapo mdau juu unaona kabisa amechagua Super Economy nadhani sababu ya kupunguza gharama na hicho kitamcost. Bure ghali Inabidi tu asubiri mpaka hiyo May[emoji23] kama hatopigiwa maana njia aliyochagua hata tracking haina hawezi kujua mzigo umeshatoka. Upo warehouse ama wapi. Na hizi kupotea huwa ni ipo na hutojua nani wa kumlaumu.
=- Muda ni msema kweli, Tusubirie wiki mbili, muuliza swali ataweka update. Sina cha kuongeza kwa sasa.
Ulichagua shipping gani?Nilifanikwa, na ile product nimesha receive View attachment 2555741
Mzee cheap is expensive.DHL unaijua gharama yake ?? Au unaongea tu
SpeedafUlichagua shipping gani?
Sasa haina maana kulipia hela nyingi DHL wakati ukijumlisha hizo gharama mzigo ungeweza kupata kwa bei hiyohiyo hapa BongoMzee cheap is expensive.
Siku zote ukiogopa gharama ndio utaingia gharama zaidi. Ni heri ulipe hizo gharama za juu lakini una uhakika wa huduma yakueleweka. Kuliko kutafuta cheap halafu mzigo wako upotee.
Anyways yawezekana hata hujawahi kuagiza hata chupi ndio maana unaogopa gharama.
Ni common sense tu mkuu. Kwanza ungesoma ulichoandika kisha ukafuta ukatulia.Sasa haina maana kulipia hela nyingi DHL wakati ukijumlisha hizo gharama mzigo ungeweza kupata kwa bei hiyohiyo hapa Bongo
Nilichokiandika sikifuti na ni wazi kuwa hata hujakielewa. Na sijakuuliza swali lolote, nashangaa unaniambia nauliza maswali kama mtoto mdogoNi common sense tu mkuu. Kwanza ungesoma ulichoandika kisha ukafuta ukatulia.
Unawezaje kuagiza kitu nje ya nchi kwa gharama kubwa kama hicho hicho kitu unaweza kukipata ulipo kwa gharama hiyo hiyo? Huo si wendawazimu?
Kuagiza ni either ulipo hakipatikani au gharama za kuagiza ni ndogo kuliko za gharama ambapo ulipo. HIYO NDIO LOGIC.
ACHA KUULIZA MASWALI KAMA MTOTO MDOGO.
Usipanic bro. Nilichomaanisha ni kuwa. Haina haja ya kuagiza mzigo nje kama hapa unaweza kuupata kwa gharama nafuu au sawa na ya nje.Nilichokiandika sikifuti na ni wazi kuwa hata hujakielewa. Na sijakuuliza swali lolote, nashangaa unaniambia nauliza maswali kama mtoto mdogo
Yaani post yangu hata hujaielewa halafu unakuja kunivamia na maneno yako ya kejeli na hasira zako huko sijui nani kakukasirisha, then unakuja kuniambia mambo ya common sense.
Naona unaanzishaga thread zako na kujisifu kuwa wewe ni genius, wakati post yangu fupi tu umeshindwa kuisoma na kuielewa. Wewe kama unakokaa wanakusifia kuwa ni genius, Mimi sikuchukulii genius kama unavyojiona. Nimethibitisha hili kwa majibu yako ya ovyo unayokurupuka kuyajibu bila hata kuelewa unachokijibu, sijakuuliza swali lolote. End of story [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Usipanic bro. Nilichomaanisha ni kuwa. Haina haja ya kuagiza mzigo nje kama hapa unaweza kuupata kwa gharama nafuu au sawa na ya nje.
Kuagiza mzigo nje husababishwa either na kutokupatikana kwake hapa nchini au gharama zake huko nje kuwa nafuu (unafuu ukiwa ni pamoja na gharama za kuufikisha hapa nchini).
Hiyo ndio logic na common sense. Sasa sijui kwanini ume panic kiasi hicho bro.
NB: Naomba nipe link ya uzi nilioanzisha nikijisifia kuwa mimi ni genius. Nitafurahi kurudia kuusoma.
Okay huo nimeupata naomba nipe link nyingine.Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake). Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa...www.jamiiforums.com