Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

Mkuu ni Shujaa wa Afrika.
 
Mkapa je
 
nimeikuta pahala

NYERERE- baba wa taifa
MWINYI- baba wa ruksa
MKAPA- baba wa mikataba mibovu
KIKWETE- baba wa mafisadi
MAGUFULI- baba wa wanyonge
SAMIA- mama wa taifa

nb: itifaki imezingatiwa
 
Huyo ni zaidi ya baba wa taifa!
 
Hahahahahhahaaa jamani hiki kichwa hiki mm hapana nimechekaaa🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…