Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Sasa mkuu kama wewe unamtoa ofa mtu ambaye alipswa yeye ndo akutoe ofa unatarajia nini?Ashushe standard zake kwa sababu anakuonea wewe huruma au aibu?Kama bajeti yako ni BALIMI mwambie kwamba unataka kumnunulia balimi moja na yeye atajazia ziada anywe Jack Daniels na kisha atakuongeza na wewe balimi mbili.Usitumie nguvu kubwa sana.Hata watoto wakike wanaojielewa huwa wanaelewa mfuko tight sema hawapendi wanaume bahili na wachoyo.
 
Shikamooo
 
kama hivyo sawa
hao slay queens sio kuwapa daily
Mmh huwa siko kwa circle ya maslay queen but kuna wakati mnagongana kulingana na mazingira ya kazi na mengineyo mwanangu.

Kiuhalisia mimi sio mcharuko sawa na mwandiko wangu humu.
Mtaani nabehave kama pastor na huwezi amini siku tukionana🤣🤣🤣
 
Shikamoo Glenn...
 
Hahahahah mos mos,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…