Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Sasa mkuu kama wewe unamtoa ofa mtu ambaye alipswa yeye ndo akutoe ofa unatarajia nini?Ashushe standard zake kwa sababu anakuonea wewe huruma au aibu?Kama bajeti yako ni BALIMI mwambie kwamba unataka kumnunulia balimi moja na yeye atajazia ziada anywe Jack Daniels na kisha atakuongeza na wewe balimi mbili.Usitumie nguvu kubwa sana.Hata watoto wakike wanaojielewa huwa wanaelewa mfuko tight sema hawapendi wanaume bahili na wachoyo.
 
Sasa mkuu kama wewe unamtoa ofa mtu ambaye alipswa yeye ndo akutoe ofa unatarajia nini?Ashushe standard zake kwa sababu anakuonea wewe huruma au aibu?Kama bajeti yako ni BALIMI mwambie kwamba unataka kumnunulia balimi moja na yeye atajazia ziada anywe Jack Daniels na kisha atakuongeza na wewe balimi mbili.Usitumie nguvu kubwa sana.
Shikamooo
 
kama hivyo sawa
hao slay queens sio kuwapa daily
Mmh huwa siko kwa circle ya maslay queen but kuna wakati mnagongana kulingana na mazingira ya kazi na mengineyo mwanangu.

Kiuhalisia mimi sio mcharuko sawa na mwandiko wangu humu.
Mtaani nabehave kama pastor na huwezi amini siku tukionana🤣🤣🤣
 
Hujaona hoja hata moja mkuu?
Jamaa kaongea vizuri mkuu.
Ukialikwa chukua tahadhari usijiachie sana.

Yesu alisema ukilikwa karamuni kaa viti vya nyuma...subiri uletwe viti vya mbele.

Lengo ni nini?.
Ikiwa nimekualika halafu ukaagiza chakula cha bei ndogo labda kwa uoga...mimi niliyekualika nitakwambia chukua hata kuku mzima na wine.

Na kama siko poa hicho hicho cha bei ya kawaida nitakuacha uendelee nacho.

Mimi niliwahi kumtoa mtu out aliagiza vinywaji na chakula jumla 300k.
Je kama ningekuwa mchovu unafikiri ingekuwaje?
Shikamoo Glenn...
 
Mmh huwa siko kwa circle ya maslay queen but kuna wakati mnagongana kulingana na mazingira ya kazi na mengineyo mwanangu.

Kiuhalisia mimi sio mcharuko sawa na mwandiko wangu humu.
Mtaani nabehave kama pastor na huwezi amini siku tukionana🤣🤣🤣
Hahahahah mos mos,
 
Back
Top Bottom