Mnapopewa ofa muwe mnaanza kujitathimini

Mpeleke sehemu ambayo hivyovitu hamna au unaongea na muhudumu kila akitakacho anaambiwa kipo kwenye oeder ya wengne
 
hao nimewaita tu hivyo
kumbe upo hivyo kabisa
okay jambo jema .. basi wanakuonea
 
Yeah it does ...
Lakini haya maisha ni kwenda kwa kujistukia la sivyo unaacha wenzio wakila raha wavuvi hivi hivi unajiona
For sho, ila as long as u grown you know how to handle shit the right way.
 
Hayo utanielezea PM😂....Watu Kama wewe January haiwahusu huwa mmeshamalizana na uongozi wa shule tangu November mwishoni
Daah si kweli mkuu.
Mimi najua kuwa navyo

Vilele najua kuishiwa au kupungukiwa.
Najua hali zote mbaya na nzuri.
Muulize Chakorii huyu ni mtoto wa kaka🤣😂
 
H Huu ujinga nonao Mimi nikisha. Umesema kweli kabisa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…