Hyo mwanaume ulimtolea wapi kwanzaKwanini wanaume wa sikuhizi mkioga wanajisugulia boxer???
Hiv mmepatwa na nini nyie lakini[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] comment zingine tutakuja kuuana.Hako kabwana kako kacheza singeri kana fanya huo upuuxi badala ya kukambia kenyewe unakuja kutujumuisha na sie.
Sorry colietha sikua na nia ya kukuua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] comment zingine tutakuja kuuana.
wanakupenda bana mpaka wanakumiss sana huwezi amini mpaka JamiiForums.com walikuwa wanakuulizia uwachambe
Nilivyoona huu uzi tu nikakukumbuka shoga.wanakupenda bana mpaka wanakumiss sana huwezi amini mpaka JamiiForums.com walikuwa wanakuulizia uwachambe
Hahaaa. Wasiyempenda kaja. LolHaya sasa wanaumeeeeee
Hahaaa. Wasiyempenda kaja. Lol
EeeeeeeeeeeeeeeeeHaya sasa wanaumeeeeee
Ya pili iwapi nkaione na mie.Hahhaahahh tena leo kawawekea thread mbili